A cry for help!!

A cry for help!!

kang'ombe

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
23
Reaction score
7
Mimi ni kijana Mtanzania. Nimehitimu chuo kikuu mwaka Juzi na kwa muda wa miezi 5 sasa nimekuwepo hapa DSM nikihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Ninaishi kwa Mtu ambaye pia ana maisha magumu but kaamua tu kunisaidia ili nisogee karibu na huduma za ajira. Juzi nilipokea. Simu kutoka nyumbani mwanza kijijini, baba ni mgonjwa na ninahijika. Sina nauli ya kunifikisha nyumbani,Naomba kwa yeyote ayakayeguswa anisaidie mchango wa kiasi chochote nipate nauli.Tuma kwa M-pesa 0765156168, nitashukuru sana. Mungu awabariki...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom