A crazy story na mpenzi wangu wa Chuo

Mkuu umeyumba sana yani ungeenda nae tuu then unamsubilia mpaka amalize kuonananea sasa ulivyo kataa manzi atajua bado unampenda pia unateseka juu yake yani umepuyanga sana Mkuu
Ndio yashotokea hamna namna tena.
 
Nimecheka hapo ulipokodoa mimacho, yalikujaa uso mzima kama gorong'ondo. Ulimuwin goli la ugenini pale ilipompiga kibuti, kosa ulipomshobokea upya ukapigwa tatu bila nyumbani ukabaki umebung'aa ka fwaala😳😳🙄🙄
 
We ungemsinidikza tuu ukamuone kidume anempumulia na angewaruhusu bas ungeenda kubarikiwa kashungwa
 
Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache.

Ni mrembo haswa na ana self confidence, hiyo ni advantage ya kukulia familia ya kishua, tuliosomea St. Kayumba na shule za Kata self confidence​
Picha yake tafadhali ili tukija Arusha tujuwe namna ya kumuepuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom