Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,851
Ingia mtandao wa linkedin weka profile vizuri. Utaonekana ndani na nje
nitafute jangakuu@yahoo.comhello!
ninawasalimu wanabodi wote.
Mimi ni muhitimu wa shahada ya Utawala(B.A Public Administrayion).Nitumia andiko langu hilo kuonesha uhitaji wa ajira ktk eneo tajwa hapo juu,sina uzoefu wowote.
Baadhi ya sifa nilizo nazo ni pamoja na uadilifu,uaminifu,weledi,uchapakazi na ubunifu .
Ninaamin ninaweza kuwa na mchango chanya kwa ajili ya office itayonipatia fursa.Ninachoangalia mbele yangu ni kujifunza zaidi,kupata uzoefu na kupanua wigo wa kiweledi kwa watu mbalimbali(proffessional network).
Kwa sasa naishi Dar es salaam,ninapatika haraka kwa kadri ya uhitaji(available on immediate effect)
N.B
i am male with 26 years of age.
Kwa wote wenye fursa kulingana na dhima ya bandiko ninakaribisha kufanya mawasiliano kwa njia ya ujumbe binafsi/maalum (Private Message,PM)
nitanguliza shukrani.
Ujue lakini kila mwaka vyuo vinamwaga wahitimu kibao wa fani ya utawala na uongizi wa umma.
nitafute jangakuu@yahoo.com
nitafute jangakuu@yahoo.com
hello!
ninawasalimu wanabodi wote.
Mimi ni muhitimu wa shahada ya Utawala(B.A Public Administrayion).Nitumia andiko langu hilo kuonesha uhitaji wa ajira ktk eneo tajwa hapo juu,sina uzoefu wowote.
Baadhi ya sifa nilizo nazo ni pamoja na uadilifu,uaminifu,weledi,uchapakazi na ubunifu .
Ninaamin ninaweza kuwa na mchango chanya kwa ajili ya office itayonipatia fursa.Ninachoangalia mbele yangu ni kujifunza zaidi,kupata uzoefu na kupanua wigo wa kiweledi kwa watu mbalimbali(proffessional network).
Kwa sasa naishi Dar es salaam,ninapatika haraka kwa kadri ya uhitaji(available on immediate effect)
N.B
i am male with 26 years of age.
Kwa wote wenye fursa kulingana na dhima ya bandiko ninakaribisha kufanya mawasiliano kwa njia ya ujumbe binafsi/maalum (Private Message,PM)
nitanguliza shukrani.
Kijana pamoja na sifa ulizonazo kama bado una ufadhili piga shule eneo lingine eg education,Law........
PUBLIC ADMINISTRATION hata haiwezekani kujiajiri
Taja kiwango cha chini kabisa upo tayari kuchukua ili nikuunganishe mahali
inawezekana maana wapo s.t .d na non s.t.d 7 wengi ni wafanyabiashara!
Tuwe makini kwenye kuchagua kozi
PUBLIC ADMINISTRATION hata haiwezekani kujiajiri
nisamehe kwa kuchelewa kujibu comment hii muhimu.
Chini kabisa 450,000/=TSH