A Call For A Palace Coup: CHADEMA

Japokuwa mie sio mwanachama ama mshabiki wa Chadema, lakini ni mtanzania ninae amini TZ haitaendelea kama haina upinzani imara na bora.

Naunga mkono uzi huu, kwa sababu naipenda Tanzanian zaidi ya chama ama kiongozi yoyote. Chadema ni lazima kihamishiwe Taifa ma kiondolewe mkoani .

Chadema kina vijana wengi makini na wenye uwezo wa kukijenga chama bila Jazba, na tafadhali wanaCHADEMA JIEPUSHENI na mapenzi ya mtu mmoja kwa sababu ya jazba au ujasiri usio tumia akili.

Tena mumpate Kiongozi asiye na Biashara yake binafsi, kwani huyo atakuwa anaangalia maslahi yake kama mbowe
 

Hahaaaaa!

Are you him?
 
Hawa wanaoandika hapa wa kutaka Mbowe aondoke ni ccm.
Badala kuongelea kunajisuwa kwa demicrasia nyie mnajifanya chadema eti akipatikana mwingine chadema itakuwa na nguvu! Nani kasema? Ni mtanzania gani kuliko Lissu ambaye ana nguvu zaidi kuliko Lissu ambaye alipigwa risasi 38! Huyo mnayedhani kuwa ana uwezo wa kupambana na jiwe ambaye hafuati sheria?
Please talk about rule of law and leave Chadema and Mbowe alone!!!!!
 

..sasa hivi hali imekuwa mbaya zaidi.

..viongozi na makada wena utitiri wa kesi mahakamani.

..wabunge wawili Lijualikali na Sugu walishafungwa jela.

..Lema alikaa mahabusu miezi 4++. Na ilikuja kuamuliwa na mahakama ya rufaa kuwa alikaa huko kimakosa.

..waliomdhulumu haki zake hawajachukuliwa hatua.

..mikutano ya hadhara imepigwa marufuku kinyume na sheria.

..mazingira haya siyo rafiki kufanya siasa. Hao mnaotaka wakipiganie chama wana familia and they want to live peacefully kama wengine.

..hoja yangu ni kwa chama tawala kijitathmini kama haya wanayowatendea wapinzani, wangependa na wao watendewe?

..kwanini siasa zetu ni za hila namna hii? Lini tutastaarabika?
 
..I think Mbowe should announce that he will no seek re election as party chairman.

..The party needs ppl who are more inspiring and dynamic at the top positions than who are currently there.
Poleni, keep your devilish advice to your party. Mbowe is here to stay. If there is anyone to quit is your Jiwe who overelies on dirty tricks in poliițics.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpatieni tu, CDM bila huyu Mbowe ingekua imekufa toka zamani.

Pamoja na madhaifu yake meengi lakini amegoma kununuliwa na upande wa pili.
I salute him
Mbowe chama kimemshinda....akae pembeni, hakuna kitu kinachodumu milele...hata Nyerere alipoona mambo magumu alikaa pembeni
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpatieni tu, CDM bila huyu Mbowe ingekua imekufa toka zamani.

Pamoja na madhaifu yake meengi lakini amegoma kununuliwa na upande wa pili.
I salute him
Mbowe chama kimemshinda....akae pembeni, hakuna kitu kinachodumu milele...hata Nyerere alipoona mambo magumu alikaa pembeni
 
Para ya mwisho yafanya uwe kichekesho zaidi.
 
sasa Mbowe anaongoza nini wakati kila sku wanachadema wanaondoka /
 
Nyani Nyani, pole, hicho chama kilishauzwa na kikafa. Pole sana Nyani.
 
Wagawe uwatawale akili mu kichwa. Ni jana tu niliuliza Upinzani unasimamia nini, walengwa wake wanafahamu?
 

word
 
Kuna ushahidi gani viongozi wa sasa wanauwawa na washindani wao nje ya chama chao?
Weka ushahidi sio hisia na fununu za mitaani.

Vyombo vinavyopaswa kuweka ushahidi wa hayo ndio washirika wa hao washukiwa. Hata kama vyombo vinavyopaswa kuweka ushihidi wazi hawafanyi hivyo, hilo haliepushi ukweli kuwa ni wa kina nani wako nyuma ya huo uhayawani.
 
Hua nikijaribu ku 'imagine' eti Mbowe ndio rais wa nchi, usiku huo hua lazima niote ndoto za kutisha sijui kwanini.
 
Hili kubwa sn sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…