A Blessed Month May

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Hi all CC Members

Hope mko oky na mnaendelea na shughuli za kimaendeleo na kitaifa pia

Awali ya yote namshukuru Mungu mwenye enzi muumba mbingu na nchi
aliyeniweka mpaka sasa na kuona nuru na mwanga na kupumua kwa
uweza wake, sijui nini wenzangu mlio mbali na upeo wa macho yangu.

Leo nimefurahia na nimeonelea niwaelezee kitu ambacho wengine
watakipenda na wengine watakichukia lakini yote hayo ni Mema.
Sio wote watafikiri na kuwaza sana na kukumbuka kumshukuru Mungu
kwa ambayo amewatendea mwezi huu, Kila siku ipitapo mbele zako
mshukuru Mungu kwani huwezi kujua Mungu amekuwa kwa makusudi gani

Kwanini nimesema kuwa ni mwezi wa baraka tele na neema nyingi ni kwa
yale matukio ya kipekee ambayo yametokea mweizi huu MAY na baraka
ambazo zimeonekana mwezi huu. May ndo mwezi ambao Bajeti la Bunge TZ
linakaa nakujadili mambo yanchi na uchumi pia. (weka lako rafiki hapa)

Mwezi huu watu wengi wamezaliwa na wengi wamekufa na ni mwezi ambao watu
mashuhuri na maarufu wamezaliwa kwa mfano Founder wa jf Maxence Melo, Boflo, steven Masaku jr, ladyfurahia na wengineo wengi ambao sijawataja hapa.
Buster lymes mwimbaji maarufu wa USA, na wapo waliokufa ambao ni
mashuhuri sana walioupambamwezi huu mfano: BOB MARLEY king of Reggae

Mwezi huu umejaa mambo mema mengi sana sitaweza orodhesha hapa nanyi
wekeni yenu kwa mwezi huu wa MAY.

Samahani kama nitawaboa na kuwakera wale ambao hawajazaliwa wala kuwa
maarufu kwa mwezi huu wa May wenye baraka.
km mnayo ya moyoni yanayohusu mwezi huu wa MAY wekeni hapa.

 
Last edited by a moderator:
Ohoo sorry my dia sikujua kumbe nawe u wa mwezi huu wa baraka tele pokea baraka katika Jina la Yesu, upate upako wa kuwa mwinjilisti na mtume na nabii wa kizazi cha akina Judgement
Nami nimezaliwa mweZi huu wa May bana
 
Last edited by a moderator:
mwezi May daaah
one of my sons born this month.

mwezi mgumu sana
kila kitu hakiendi daaah
ni heri uishe haraka tuone huko mbele.

Hongera zenu wote mliozaliwa mwezi Mei.
 
ona sasa na mwezi huu tumepata pigo kwenye tasnia ya kmuziki wa hipohop kumpoteza mpenzi wetu MANGWAIR jamani so sad
Hahaha kweli mkuu ila mie nilionewa tu
 
jamani Boflo, steven na Judgement mwezi huu kweli ni wa huzuni sana si unaoona tunafika ukingoini kwa kumpoteza mpendwa wetu wa moyoni MANGWAIR
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…