A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

BOOK SUMMARY: WHITE POISON

(A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !)

MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej

MCHAMBUZI: Ghost Writer()

Tuanze kwa kumnukuu Rais wa kwanza wa KENYA Bw. Jomo Kenyatta kipindi cha uhai wake aliwahi kusema kwamba;-

"Wazungu walipokuja Barani Africa, walitukuta tuna Ardhi yenye rutuba, na wao walikuja na Biblia, Wakatufundisha kusali tukiwa tumefumba macho, na tulipofumbua macho baada ya kusali walikuwa tayari wanamiliki ardhi yetu na sisi tukapewa Biblia.."

Sasa twende mdogo mdogo tuone alikuwa anamaanisha nini

Tukirudi nyuma mpaka mwaka 1883 huko Ubelgiji Mfalme wa ubelgiji KING LEOPOLD II alitoa hotuba fupi kwenye semina ndogo iliyoandaliwa kwa lengo la kuwanoa Wamishionari kabla ya kuja Barani Africa na kati ya Mbinu waliyoitumia kuliteka Bara la Africa ilikuwa ni ASSIMILATION(Kuwafundisha Waafrica Lugha na utamaduni wa Kizungu)

Assimilation imegawanyika katika tanzu mbalimbali ikiwemo KI-DINI,-UCHUMI, -SIASA na -JAMII Hivyo wakaona ni vyema Kuanza na KIDINI( Religious Assimilation) kwa sababu ndio ingekuwa rahisi kuwarubuni waafrica na pia ingesaidia kuanzisha Mifumo hii mingine kiurahisi.

Baadhi ya mambo aliyowaeleza ni kama yafuatayo;

1. Aliwaambia wamishionari wasiwafundishe waafrica mambo ambayo tayari wanayajua kwa mfano imani kwa wakati huo tayari africa ilikuwa ina imani na walikuwa wanaabudu miungu ambayo sehemu kama Congo MUNGU alikuwa anajulikana kwa majina kadhaa wa kadhaa ikiwemo MUNDI, MUNGU(kama tunavyomuita ata sasa) na DIAKOMBA

Hivyo miongoni mwa majukumu waliyopewa hawa wamishionari ambao walikuja kama viongozi wa dini yaani PRIESTS ni kuhakikisha wanatimiza jukumu la kiutawala walilokabidhiwa toka Nchini kwao Ubelgiji.

2. Wamishionari walipewa jukumu la kuitafsiri injili kwa waafrica kwa minajiri ya kulinda na kufanikisha Malengo yao katika Bara la Africa.

3. Jukumu lingine lilikuwa kuhakikisha Waafrica wanapoteza hamasa juu ya Ardhi yao iliyojaa UTAJIRI mkubwa na yenye rutuba kwa maana bila kufanya hivo Waafrica wasingekubali kuona Wazungu wakichukua Mali zao hivyo wangepigana.

Kwahiyo kwa kuwapumbaza ilibidi wawadanganye waafrica kupitia vifungu kadhaa vya kwenye Biblia vitakavyowapa hofu

Ukisoma Mathayo 5: 3-12 utaona ni kwa namna gani wamishionari walihakikisha wanatumia elimu yao juu ya injili kuwawezesha kuwaambia waafrica kwamba ili kuurithi ufalme wa MUNGU lazima mtu uwe na Unyenyekevu n.k

Soma: (Mathayo 5:3)
"Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.."

Na wakaenda mbali zaidi kwamba ni ngumu sana kwa MATAJIRI kuurithi UFALME wa MUNGU hivyo waafrica wengi wakawa waoga kutumia Rasirimali zao kwa kuogopa kutajirika na kwenda motoni.

4. Wamishionari walikuwa na jukumu la kuhakikisha hawawapi nafasi Waafrica Kuhoji( CRITICAL THINKING) yale yote
wanayoambiwa kupitia mafundisho ya kidini wanayopewa. Hivyo walikuwa wanafundishwa KUAMINI na sio KUHOJI

Soma: (Yohana 20:29)
"Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.."
(AMINI ata kama HUJAONA)

5. Mfalme Leopord II aliwaambia wahakikishe wake zao( wanawake wa kiafrica) wanawaamini na kuwanyenyekea kwa kuwaletea zawadi mbalimbali kama Mbuzi, kuku au Mayai kama ishara ya shukrani( GESTURE OF GRATITUDE) kila wakati wanapotembelea vijijini kwao(..na jambo hili linaendelea hadi leo..loh). Kwa kifupi waliambiwa wahakikishw waafrica hawatajiriki kwa sababu wakiruhusu watajirike hawawezi kuwa WANYENYEKEVU

6. Waliambiwa wahakikishe Waafrica wanalipa KODI kila wiki siku za makusanyiko ya JUMAPILI(..yaani Siku ya kusali ile sadaka ndio kodi..Mmmh hatari!!)

Kisha tumieni Fedha hizo kujenga Hospitali, Mashule na Makanisa kwa ajili yao ili waone tunawapenda na kuwa jali sana waendelee kupumbazika..Sisi Hao..Balaa!!!

Kisha anzisheni mfumo wa Kutubia ( CONFESSION SYSTEM) utakaowawezesha kuchunguza na kujua kama mbinu zenu mlizozitumia zinafanya kazi kwa sababu watakuwa wakikosea wanakuja kutubu(..wakienda kinyume na mafundisho ya kwenye Kitabu cha Mathayo 5: 3-12)

Baada ya wamishionari kufika Africa sana sana Kongo, Aliyekuwa kiongozi wa Makoloni ya Ubelgiji Bw. Jules Renquin mnamo mwaka 1920 aliongezea nyama nyama kwenye kile kilichokwisha semwa na King Leopold II hapo awali na kusema mambo yafuatayo:

Waafrica waambiwe kuabudu sanamu ni kumuabudu shetani hivyo inabidi waache kufanya hivo kisha wamishionari waliambiwa wachukue masanamu hayo wayapeleke kwenye majumba yao ya makumbuko(Museum) lengo kubwa likiwa kuhakikisha waafrica wanawasahau mababu(Ancestors) na utamaduni wao.

Kuwachukulia waafrica wote kama watoto wao wa kufikia..hivyo kuwafundisha wawaite FATHER(Baba)..Mfumo huu nadhani unaendelea mpaka leo Wakatoliki wanamuita kiongozi wao wa kiroho FATHER na wakristo wengine wanamuita kiongozi wao wa kiroho BABA MCHUNGAJI

Wafundisheni Mafundisho lakini nyie msiyafuate hayo mafundisho kwa sababu ni ya uongo na endapo wakiwaliza kwanini nyie hamyatendi na kuyafuata yale yote mnayoyahubiri na kuyanena muwajibu " Mnapaswa kufuata kile ninachokisema na sio kile ninachokitenda"(kauli hii inatumika sana kwa wakatoliki na wakristo wengi mpaka sasa) kwani "Heri ya wale wanaosadiki bila kuona" kama isemavyo biblia.

Maneno ya King Leopold II na Bw. Jules Renquin yamekuwa yakifuatwa kila siku na ikawa ni utamaduni kwa wanawake wa kikongo wakati huo.

Ukisoma kitabu cha ABO UNE FEMME DU CONGO (A woman of Kongo) kilichoandikwa na Ludo Martens kilichochapishwa mwaka 1995 utaona ni kwa kiasi gani mwandishi amejaribu kuzungumzia suala hili kiundani kwa mfano katika ukurasa wa 68 amezungumzia mambo kadhaa yanayoendana na haya tuliyokwisha jadili hapo awali. Alienda mbali na kusema mambo yafuatayo..

Mababu zetu walikuwa wakijitegemea na walikuwa huru kwenye nchi yao lakini wakoloni walipokuja kwa lengo la kuwatawala kijiji baada ya kijiji, waliwaletea babu zetu chumvi na samaki waliokaushwa ili kuwarubuni washirikiane nao ila walikataa. Baada ya kukataa ilibidi watumie silaha za moto(Bunduki) na kwa Muafrica yeyote alieendelea kukataa kwa aliyekutwa na Upinde au Mshale mkononi alipigwa risasi papo hapo kisha wakawalazimisha babu zetu kuwafanyia kazi ngumu na wale walioonekana ni wavivu wakawa wanauawa.

Kisha wakatuletea Wamishionari (Tuwekane sawa kidogo hapa neno Missionary limetokana na Mission-ary ikiwa na maana walikuja na Mission yao) wakiwa na lengo(Mission) la kuwarubuni waafrica ili wawafanyie kazi kwa kujitolea kiroho safi (Ndio maana wakaja na ile mbinu ya Assimilation)

Waliwachukua watoto wadogo kutoka kwa mama zao na kuwafundisha dini kwa kisingizio eti ni Yatima hivyo watoto wamekuwa wakifundishwa dini na kukua wakijua ni Yatima hivyo kuwanyenyekea wao. Hivyo mdogo mdogo wakawa wakiisambaza dini yao baina yetu.. Hii inamanisha nini!?

Wao wamekuwa wakitukataza tusipende Pesa ila tumpende M/MUNGU aliye hai kuliko pesa lakini Wao Je! Hawapendi pesa!? Kampuni zao ikiwemo The Oil Mills of Belgium Congo inaingiza mamilioni ya pesa kupitia jasho letu. Je! Kutopenda pesa ni kuukubali Utumwa kwa kupewa ujira mdogo wakati wao wananufaika zaidi!!?

Walitukataza TUSIUE(Kutoka 20:13), Je! Wao hawaui!!?.. Hapa kilamba Mwaka 1931 waliuwa zaidi ya wanakijiji 1000.

Walitukataza TUSIIBE(Kutoka 20:15), Lakini wao wameiba ardhi yetu yenye rutuba, utajiri wetu na rasilimali zetu nyingi lakini Mtu mweusi alikuwa akiiba lazima aende KUTUBU na kumwambia kila kitu Mchungaji(Priest) kisha baada ya hapo mchungaji anapeleka taarifa kwenye Uongozi wao na yule mtu anakamatwa na kuwekwa Gerezani.

Sasa leo, Unaanzaje kuwa Mkatoliki au Mkristo!?

Unawezaje kuabudu dini ya watu wale waliokutesa!?

Unawezaje kuabudu dini ya watu walio-tesa,-dhurumu,-nyanyasa,-dharirisha,-ua babu zako!?

Wakatoliki na Wakristo wote ambao ni Waafrica wote ni WASALITI kwa mababu zao walioteswa, nyanyaswa,dhurumiwa,na kuuawa na wakoloni hawa.

Ni bora ata waafrica wenzangu waabudu zingine kuliko hii ya hawa waliotunyanyasa zaidi

Unaweza kuwa mkimbagu, mbuddha, muislamu na ata kuwa muumini wa dhehebu lingine lakini sio la hawa Wakristo kwa sababu kufanya hivo ni sawa na kuwatukana Babu zetu..

Hadi leo hii tunaona kuna viongozi wakubwa wa dini hizi ambao ni Waafrica wenzetu..hii inamaanisha nini!?

Waafrica bado tunatawaliwa na tutaendelea kuwa watumwa wa kifikra kutokana na huu Ukoloni mambo leo ulioletwa na watesi wetu.

Je! wakati makanisa ya Catholic, Protestant, Adventist, Baptist na mengineyo yaanzishwa na hawa wazungu kulikuwa ata na muafrica mmoja kati yao!!? Bila shaka jibu ni HAPANA!!

Angalia leo sasa, Sio Ghana, Kongo, Angola, Cameroon na sehemu zingine zote waafrica wanaabudu dini hizi kwa maelfu na maelfu yao huku wakitumia Biblia Takatifu kama kitabu cha marejeo lakini wamesahau hii hii Biblia ndio ilikuwa ikitumika kama kitabu cha marejeo na sheria zilizotumika kuwapumbaza Babu zetu na kusahau imani zao za asili walizowakuta nazo.

Itaendelea!!
(Ghost..)
Wewe naona umetumwa na Shetani kupotosha.Anyway tusiandike na mate,siku inakuja ambapo utakula maneno yako.Kiukweli hata Shetani ambaye au kwa kujua au bila kujua unamfanyia kazi anakucheka.
 
BOOK SUMMARY: WHITE POISON

(A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !)

MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej

MCHAMBUZI: Ghost Writer()

inaendelea..

inachekesha sana kuona mpaka sasa waafrika wanatumia majina ya kizungu kama vile Gabriel, Ruth, Leopold, Gertrude, Celestine n.k yaliyoletwa na watesi wao. Tulitegemea majina hayo yaishie enzi za ukoloni kwa sababu babu zetu walikuwa wanabatizwa kwa lazima na kupewa majina ya kikristo kwa lazima lakini ata baada ya utumwa leo bado vizazi vyetu vya Afrika vinawapa watoto majina haya, Hii ni kumaanisha nini!?

inamaanisha ata baada ya watesi wetu kuondoka lakini bado sisi ni watumwa wa dini na misingi yake waliotuachia hapa Afrika.

Ukienda Burundi, Ni kawaida kuona Majina ya mwanzo ya watoto ni ya kiingereza/Lugha ya watesi wetu mfano Pierre Nkurunzinza, Pia si jambo geni kukuta jina 'Bonaparte' likitumiwa na waburundi wengi lakini huyu huyu 'Napoléon Bonaparte'
ndie aliyeanzisha biashara ya Utumwa huko Ufaransa mwaka 1802 sasa unawezaje kumuita mwanao jina la mtu aliyekuwa akiwauza na kuwaua babu zako kama watumwa!? Ni sawa na leo ukute wayahudi wakiwaita watoto wao jina la Adolf wakati Adolf Hitler aliwaachia kumbukumbu ya majonzi isiyofutika !? Au ukute Kongo mtu kamuita mtoto wake jina la Leopold la Mfalme wa Ubelgiji Leopold II wakati aliwaua wakongo/babu zetu zaidi ya Milioni 10. Sasa unaweza ona ni jinsi gani majina ya wale waliotuletea ukoloni wakatufanya watumwa lakini bado tunawaabudu na kufata tamaduni zao.

Siku hizi ni nadra sana kukuta mtoto ameitwa Nkrumah, Sankara, Tshombe, Lumumba, Kambarage, Kimbangu, Anikulapo kuti n.k ila ni rahisi sana kukuta watoto wameitwa Winston, John, James, Job n.k Je! wao wanawaita watoto wao majina ya kwetu huku Afrika!? Bila shaka jibu ni HAPANA! sasa mbona sisi tuwaite watoto wetu majina ya kwao!?

Ili watu weusi waweze kuifata dini ya kikristo na kutawaliwa na wazungu ilibidi baadhi ya vitu vitumike kulifanikisha zoezi ilo hivyo ziliandaliwa baadhi ya Sheria na codes mbalimbali ili kuweza kukisimamisha kile kinachoitwa ukristo barani Afrika na walifanikiwa.

Mnamo March 1685, Mfalme Louis XIV wa Ufaransa alianzisha kitu kinaitwa The Black code kilichokuwa kikitoa maelezo, mbinu na umuhimu wa kutumia 'Religious Assimalition' ili kuweza kuwatawala watu weusi.

Kijitabu hiki(the black code) kilikuwa na makala zipatazo 60, Ngoja tuangalie baadhi zinazotuhusu zaidi.

Makala ya kwanza, Ni matamanio/matarajio yetu kutekeleza tamko la Mfalme wetu kipenzi lililotoka April 23,1615 ili lianze kutumika. Likiwa na mlengo wa kuwafukuza wayahudi wote walioweka makazi katika kisiwa chetu na kwa wale wataoonekana kupinga dini ya kikristo tunatoa miezi mi(3) toka siku ya bandiko hili waweze kuama na wasipofanya hivo wajiandae kwa kuuawa au kunyang'anywa mali zao zote kwa mabavu.

Makala No.2, Watumwa wote watakaokuwa wamebakia katika kisiwa chetu tutawabatiza na kufunzwa katika dini ya Catholic, Apostolic na Roman na kwa wanunuzi watakaokuwa wananunua watumwa wapya ambao bado hawajabatizwa watahitajika kutoa taarifa kwa viongozi wao mapema ndani ya wiki moja ili kukwepa faini kwa kuwabatika watumwa hao ambao walikuwa ni watu weusi.

Makala No.3, Ni marufuku kusali dini zingine tofauti na hizi tatu Catholic, Apostolic na Roman na endapo utagundulika umeenda kinyume na tamko hili tutakuhesabu kama Msaliti na muhasi na hatutaweza vumilia vitu vya namna hii vitokee.

Makala No.4, Hakuna kiongozi atakaeruhusiwa kuchukua watumwa ambao hawajakubali kuwa katika moja kati ya hizo dini 3 endapo itagundulika basi adhabu kali itachukuliwa dhidi ya utovu huo.

Makala No.8, Tunatangaza kuwa wale wote ambao watakuwa sio wa hizo dini tajwa yaan Catholic, Apostolic na Roman huko mbeleni wakihitaji kuingia kwenye ndoa basi hiyo ndoa haitakuwa halali na endapo watafanikiwa kuzaa watoto basi hao watoto watakuwa haramu kutokana na ndoa isiyo halali/tusiyoitambua( cohabitation)

Makala No.38, Ndani ya mwezi mmoja toka siku ya kuripotiwa, Mfungwa atakeonekana anapinga matakwa ya Muajiri wake atakatwa masikio na kupigwa chapa ya 'fleur de lys' (Alama ya kifaransa) akiendelea kuwa mkahidi ndani ya mwezi mmoja tena atakatwa msuli wa nyuma ya goti lake ( hamstring) kisha kupigwa chapa ya 'fleur de lys' katika bega lake jingine lakini akirudia kwa mara ya tatu basi lazima auliwe.

Makala No.44, Ni lazima watumwa wawe wanatozwa tozo(endapo akiuzwa) kisha tozo hizo zihesabiwe kama mali za usharika na hazitotakiwa kukopeshwa ila zitagawanywa sawa baina ya wamiliki.

(Unaweza soma kwa muda wako Makala zote 60, attachment nzima ya 'The Black code' utaipata hapo chini nitaiweka baada ya andiko hili)

Kanisa katoliki lilianzishwa karne ya 3 baada ya kifo cha Yesu Kristo, Yes! Miaka 300 baada ya kifo cha Yesu Kristo ikiwa na maana ya vizazi 15 baada ya kufariki kwa Yesu Kristo ndipo kanisa katoliki likaanzishwa. Vatican haijawahi kuzungumziwa na nabii yeyote sio Musa, sio Yesu mwenyewe wala Nabii mwingine yeyote yule na ndio maana toka kuanzishwa kwake hakuna ata Papa Mmoja alishawahi tenda miujibu mbele ya wahumini wake na hawatendi miujiza.

Sasa inawezekanaje vizazi vya watu weusi walioteswa na hawa watu waanze kuabudu na kuitumikia dini ambayo haina uhusiano wowote na Mamlaka ya Mungu!?

Kanisa hili limekuwa likiwapumbaza watu kwa minajili ya imani na kuwazuia kuutafuta ukweli ili wao waendelee kuwa na nguvu/mamlaka zaidi.

Kuna uthibitisho juu ya mipango ya kanisa hili unaopatikana kwenye maandiko yaliyoandikwa mwaja 1550 wakati Makadinali walipokusanyika kumchagua Papa GUILLO III na Maandiko haya yamehifadhiwa katika Maktaba ya Taifa huko Ufaransa ila kwa kifupi baadhi ya mandiko yalikuwa kama ifuatavyo:

"Injili na usomaji wa Biblia unahitajika uruhusiwe kwa kiwango kidogo sana kwenye nchi zenye utawala wetu.

Kile kidogo kitakachosomwa wakati wa ibada kinatosha, na isiruhusiwe wao kusoma zaidi ya hapo

Endapo watu wataendelea kusoma na kuamini hiki kidogo watakachokuwa wamesoma kwenye ibada basi Mtaendelea kutawala lakini punde watakapoanza kusoma zaidi basi malengo yenu yataanza kujulikana

Kwa sababu hizo, Mtu atakapo jaribu kuringanisha mafundisho mbalimbali ya kwenye Biblia na Miaka kanisa letu lilipoanzishwa ataona kabisa tunapishana na uhalisia na matukio mengi ya kwenye Biblia

Na baada ya watu kulijua hili wataendelea kuusema ukweli mdogo mdogo mpaka pale wenzao wote watakaoamini na kuujua ukweli ulivyo na ndivyo Chuki zitaanza juu yetu

Hivyo msiwaruhusu wasome sana hii Biblia lakini muwe makini msije sababisha vurugu kati yao na nyinyi"

Mamlaka yamekuwa yakitangulizwa kabla ya kitu chochote kile ikiwepo kuujua Ukweli na hii ilikuwa moja ya mafundisho ya kanisa katoliki na ndio Maana Simon Kimbangu aliwaambia wahumini wake huko kongo kwamba:

"Endeleeni kuyasoma maandiko katika Biblia, Mstari kwa mstari, neno kwa neno mtaanza kutambua matendo ya wale waliowaletea hiyo Biblia ukilinganisha na amri/sheria za kwenye kitabu hiko. Lazima utamshika mwizi na vile vitu vyote alivyoiba"!

Je! Waliiba nini!? Majibu utayapata katika maandiko ya “The Polytheism of our African ancestors: Source of Truth” huko mbeleni usichoke!

itaendelea!!
(Ghost..)
 
Attachments

  • code-noir.pdf
    181.9 KB · Views: 24
Budhism cyo dini,ni Falsafa!
Kimbaguism ni dini ya asili iliyoanzishwa na Simon Kimbagu huko Congo mwaka 1921

Tukija kwenye suala la Ubuddha sio kwamba ni lazima iwe imeanzishwa/ ni utamaduni wa Mtu mweusi ila mwandishi alichokuwa anamaanisha ni bora kufuata imani ya kibuddha ya kuabudu miungu kuliko kuamini katika ukristo( Monotheism)
 
Mambo hayo dah!
 
BOOK SUMMARY: WHITE POISON

(A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !)

MWANDISHI: Christians,infactiël” Nawej

MCHAMBUZI: Ghost Writer()

Tuanze kwa kumnukuu Rais wa kwanza wa KENYA Bw. Jomo Kenyatta kipindi cha uhai wake aliwahi kusema kwamba;-

"Wazungu walipokuja Barani Africa, walitukuta tuna Ardhi yenye rutuba, na wao walikuja na Biblia, Wakatufundisha kusali tukiwa tumefumba macho, na tulipofumbua macho baada ya kusali walikuwa tayari wanamiliki ardhi yetu na sisi tukapewa Biblia.."

Sasa twende mdogo mdogo tuone alikuwa anamaanisha nini

Tukirudi nyuma mpaka mwaka 1883 huko Ubelgiji Mfalme wa ubelgiji KING LEOPOLD II alitoa hotuba fupi kwenye semina ndogo iliyoandaliwa kwa lengo la kuwanoa Wamishionari kabla ya kuja Barani Africa na kati ya Mbinu waliyoitumia kuliteka Bara la Africa ilikuwa ni ASSIMILATION(Kuwafundisha Waafrica Lugha na utamaduni wa Kizungu)

Assimilation imegawanyika katika tanzu mbalimbali ikiwemo KI-DINI,-UCHUMI, -SIASA na -JAMII Hivyo wakaona ni vyema Kuanza na KIDINI( Religious Assimilation) kwa sababu ndio ingekuwa rahisi kuwarubuni waafrica na pia ingesaidia kuanzisha Mifumo hii mingine kiurahisi.

Baadhi ya mambo aliyowaeleza ni kama yafuatayo;

1. Aliwaambia wamishionari wasiwafundishe waafrica mambo ambayo tayari wanayajua kwa mfano imani kwa wakati huo tayari africa ilikuwa ina imani na walikuwa wanaabudu miungu ambayo sehemu kama Congo MUNGU alikuwa anajulikana kwa majina kadhaa wa kadhaa ikiwemo MUNDI, MUNGU(kama tunavyomuita ata sasa) na DIAKOMBA

Hivyo miongoni mwa majukumu waliyopewa hawa wamishionari ambao walikuja kama viongozi wa dini yaani PRIESTS ni kuhakikisha wanatimiza jukumu la kiutawala walilokabidhiwa toka Nchini kwao Ubelgiji.

2. Wamishionari walipewa jukumu la kuitafsiri injili kwa waafrica kwa minajiri ya kulinda na kufanikisha Malengo yao katika Bara la Africa.

3. Jukumu lingine lilikuwa kuhakikisha Waafrica wanapoteza hamasa juu ya Ardhi yao iliyojaa UTAJIRI mkubwa na yenye rutuba kwa maana bila kufanya hivo Waafrica wasingekubali kuona Wazungu wakichukua Mali zao hivyo wangepigana.

Kwahiyo kwa kuwapumbaza ilibidi wawadanganye waafrica kupitia vifungu kadhaa vya kwenye Biblia vitakavyowapa hofu

Ukisoma Mathayo 5: 3-12 utaona ni kwa namna gani wamishionari walihakikisha wanatumia elimu yao juu ya injili kuwawezesha kuwaambia waafrica kwamba ili kuurithi ufalme wa MUNGU lazima mtu uwe na Unyenyekevu n.k

Soma: (Mathayo 5:3)
"Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.."

Na wakaenda mbali zaidi kwamba ni ngumu sana kwa MATAJIRI kuurithi UFALME wa MUNGU hivyo waafrica wengi wakawa waoga kutumia Rasirimali zao kwa kuogopa kutajirika na kwenda motoni.

4. Wamishionari walikuwa na jukumu la kuhakikisha hawawapi nafasi Waafrica Kuhoji( CRITICAL THINKING) yale yote
wanayoambiwa kupitia mafundisho ya kidini wanayopewa. Hivyo walikuwa wanafundishwa KUAMINI na sio KUHOJI

Soma: (Yohana 20:29)
"Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.."
(AMINI ata kama HUJAONA)

5. Mfalme Leopord II aliwaambia wahakikishe wake zao( wanawake wa kiafrica) wanawaamini na kuwanyenyekea kwa kuwaletea zawadi mbalimbali kama Mbuzi, kuku au Mayai kama ishara ya shukrani( GESTURE OF GRATITUDE) kila wakati wanapotembelea vijijini kwao(..na jambo hili linaendelea hadi leo..loh). Kwa kifupi waliambiwa wahakikishw waafrica hawatajiriki kwa sababu wakiruhusu watajirike hawawezi kuwa WANYENYEKEVU

6. Waliambiwa wahakikishe Waafrica wanalipa KODI kila wiki siku za makusanyiko ya JUMAPILI(..yaani Siku ya kusali ile sadaka ndio kodi..Mmmh hatari!!)

Kisha tumieni Fedha hizo kujenga Hospitali, Mashule na Makanisa kwa ajili yao ili waone tunawapenda na kuwa jali sana waendelee kupumbazika..Sisi Hao..Balaa!!!

Kisha anzisheni mfumo wa Kutubia ( CONFESSION SYSTEM) utakaowawezesha kuchunguza na kujua kama mbinu zenu mlizozitumia zinafanya kazi kwa sababu watakuwa wakikosea wanakuja kutubu(..wakienda kinyume na mafundisho ya kwenye Kitabu cha Mathayo 5: 3-12)

Baada ya wamishionari kufika Africa sana sana Kongo, Aliyekuwa kiongozi wa Makoloni ya Ubelgiji Bw. Jules Renquin mnamo mwaka 1920 aliongezea nyama nyama kwenye kile kilichokwisha semwa na King Leopold II hapo awali na kusema mambo yafuatayo:

Waafrica waambiwe kuabudu sanamu ni kumuabudu shetani hivyo inabidi waache kufanya hivo kisha wamishionari waliambiwa wachukue masanamu hayo wayapeleke kwenye majumba yao ya makumbuko(Museum) lengo kubwa likiwa kuhakikisha waafrica wanawasahau mababu(Ancestors) na utamaduni wao.

Kuwachukulia waafrica wote kama watoto wao wa kufikia..hivyo kuwafundisha wawaite FATHER(Baba)..Mfumo huu nadhani unaendelea mpaka leo Wakatoliki wanamuita kiongozi wao wa kiroho FATHER na wakristo wengine wanamuita kiongozi wao wa kiroho BABA MCHUNGAJI

Wafundisheni Mafundisho lakini nyie msiyafuate hayo mafundisho kwa sababu ni ya uongo na endapo wakiwaliza kwanini nyie hamyatendi na kuyafuata yale yote mnayoyahubiri na kuyanena muwajibu " Mnapaswa kufuata kile ninachokisema na sio kile ninachokitenda"(kauli hii inatumika sana kwa wakatoliki na wakristo wengi mpaka sasa) kwani "Heri ya wale wanaosadiki bila kuona" kama isemavyo biblia.

Maneno ya King Leopold II na Bw. Jules Renquin yamekuwa yakifuatwa kila siku na ikawa ni utamaduni kwa wanawake wa kikongo wakati huo.

Ukisoma kitabu cha ABO UNE FEMME DU CONGO (A woman of Kongo) kilichoandikwa na Ludo Martens kilichochapishwa mwaka 1995 utaona ni kwa kiasi gani mwandishi amejaribu kuzungumzia suala hili kiundani kwa mfano katika ukurasa wa 68 amezungumzia mambo kadhaa yanayoendana na haya tuliyokwisha jadili hapo awali. Alienda mbali na kusema mambo yafuatayo..

Mababu zetu walikuwa wakijitegemea na walikuwa huru kwenye nchi yao lakini wakoloni walipokuja kwa lengo la kuwatawala kijiji baada ya kijiji, waliwaletea babu zetu chumvi na samaki waliokaushwa ili kuwarubuni washirikiane nao ila walikataa. Baada ya kukataa ilibidi watumie silaha za moto(Bunduki) na kwa Muafrica yeyote alieendelea kukataa kwa aliyekutwa na Upinde au Mshale mkononi alipigwa risasi papo hapo kisha wakawalazimisha babu zetu kuwafanyia kazi ngumu na wale walioonekana ni wavivu wakawa wanauawa.

Kisha wakatuletea Wamishionari (Tuwekane sawa kidogo hapa neno Missionary limetokana na Mission-ary ikiwa na maana walikuja na Mission yao) wakiwa na lengo(Mission) la kuwarubuni waafrica ili wawafanyie kazi kwa kujitolea kiroho safi (Ndio maana wakaja na ile mbinu ya Assimilation)

Waliwachukua watoto wadogo kutoka kwa mama zao na kuwafundisha dini kwa kisingizio eti ni Yatima hivyo watoto wamekuwa wakifundishwa dini na kukua wakijua ni Yatima hivyo kuwanyenyekea wao. Hivyo mdogo mdogo wakawa wakiisambaza dini yao baina yetu.. Hii inamanisha nini!?

Wao wamekuwa wakitukataza tusipende Pesa ila tumpende M/MUNGU aliye hai kuliko pesa lakini Wao Je! Hawapendi pesa!? Kampuni zao ikiwemo The Oil Mills of Belgium Congo inaingiza mamilioni ya pesa kupitia jasho letu. Je! Kutopenda pesa ni kuukubali Utumwa kwa kupewa ujira mdogo wakati wao wananufaika zaidi!!?

Walitukataza TUSIUE(Kutoka 20:13), Je! Wao hawaui!!?.. Hapa kilamba Mwaka 1931 waliuwa zaidi ya wanakijiji 1000.

Walitukataza TUSIIBE(Kutoka 20:15), Lakini wao wameiba ardhi yetu yenye rutuba, utajiri wetu na rasilimali zetu nyingi lakini Mtu mweusi alikuwa akiiba lazima aende KUTUBU na kumwambia kila kitu Mchungaji(Priest) kisha baada ya hapo mchungaji anapeleka taarifa kwenye Uongozi wao na yule mtu anakamatwa na kuwekwa Gerezani.

Sasa leo, Unaanzaje kuwa Mkatoliki au Mkristo!?

Unawezaje kuabudu dini ya watu wale waliokutesa!?

Unawezaje kuabudu dini ya watu walio-tesa,-dhurumu,-nyanyasa,-dharirisha,-ua babu zako!?

Wakatoliki na Wakristo wote ambao ni Waafrica wote ni WASALITI kwa mababu zao walioteswa, nyanyaswa,dhurumiwa,na kuuawa na wakoloni hawa.

Ni bora ata waafrica wenzangu waabudu zingine kuliko hii ya hawa waliotunyanyasa zaidi

Unaweza kuwa mkimbagu, mbuddha, muislamu na ata kuwa muumini wa dhehebu lingine lakini sio la hawa Wakristo kwa sababu kufanya hivo ni sawa na kuwatukana Babu zetu..

Hadi leo hii tunaona kuna viongozi wakubwa wa dini hizi ambao ni Waafrica wenzetu..hii inamaanisha nini!?

Waafrica bado tunatawaliwa na tutaendelea kuwa watumwa wa kifikra kutokana na huu Ukoloni mambo leo ulioletwa na watesi wetu.

Je! wakati makanisa ya Catholic, Protestant, Adventist, Baptist na mengineyo yaanzishwa na hawa wazungu kulikuwa ata na muafrica mmoja kati yao!!? Bila shaka jibu ni HAPANA!!

Angalia leo sasa, Sio Ghana, Kongo, Angola, Cameroon na sehemu zingine zote waafrica wanaabudu dini hizi kwa maelfu na maelfu yao huku wakitumia Biblia Takatifu kama kitabu cha marejeo lakini wamesahau hii hii Biblia ndio ilikuwa ikitumika kama kitabu cha marejeo na sheria zilizotumika kuwapumbaza Babu zetu na kusahau imani zao za asili walizowakuta nazo.

Itaendelea!!
(Ghost..)
You are a Ghost indeed.Hivi kwa akili yako Ghost iliyopotoka,unafikiri Ukristo ulitokana na Wazungu,hapana mkuu,origin ya Ukristo ni Middle East and specifically Israel.Wazungu nao walipelekewa tu.Infact you need also to understand that not all Whites are Christians,some are dedicated Luciferians belonging to different underground societies like the Knights of Templar,Knights of Malta,Knights of Columbus,Freemasons etc. like you,and some are dedicated Christians!
 
Mkuu samahani nina swali kidogo, umesema original ya ukristo ni Middle East and specifically Israel, swali linakuja itakuaje sehemu yenye chimbuko la ukristo yani Israel ndio kuwe na idadi ndogo sana ya watu wakristo? Yani Israel ata waislam ni wengi kuliko wakristo, katika population yote ya Israel wakristo ni 2% na Muslim 6% na zilizobaki ni wayahudi

Sasa imekuaje kwenye chimbuko la ukristo wao hawautaki ukristo ila katika maeneo ambayo sio chimbuko ndipo kuna idadi kubwa ya wakristo mfano Africa
 
Back
Top Bottom