C cc_africa Senior Member Joined May 30, 2010 Posts 121 Reaction score 2 May 31, 2010 #1 A.al3kum habari zenu wana jf.nashkuru kuwepo hapa kwa kujitambusha kwenu, pia natoa shukrani zangu kwa wanachama wote wa jf.
A.al3kum habari zenu wana jf.nashkuru kuwepo hapa kwa kujitambusha kwenu, pia natoa shukrani zangu kwa wanachama wote wa jf.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,884 May 31, 2010 #2 karibu sana JF, conscorp africa...tunategemea mengi kutoka kwako, hata andbeyondafrica yupo humu
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 743 May 31, 2010 #3 sijaelewa hiyo herufi yake anamaanisha nini, sijui anasema aleikumu au wakibaru sijaelewa...
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,884 May 31, 2010 #4 Ubungoubungo said: sijaelewa hiyo herufi yake anamaanisha nini, sijui anasema aleikumu au wakibaru sijaelewa... Click to expand... we mkaribishe tuu usijali sana herufi zake
Ubungoubungo said: sijaelewa hiyo herufi yake anamaanisha nini, sijui anasema aleikumu au wakibaru sijaelewa... Click to expand... we mkaribishe tuu usijali sana herufi zake
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 May 31, 2010 #5 cc_africa said: A.al3kum habari zenu wana jf.nashkuru kuwepo hapa kwa kujitambusha kwenu, pia natoa shukrani zangu kwa wanachama wote wa jf. Click to expand... karibu sana jisikie mwenye amani uwapo humu ndani
cc_africa said: A.al3kum habari zenu wana jf.nashkuru kuwepo hapa kwa kujitambusha kwenu, pia natoa shukrani zangu kwa wanachama wote wa jf. Click to expand... karibu sana jisikie mwenye amani uwapo humu ndani
Mwana wa Mungu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2008 Posts 1,003 Reaction score 86 May 31, 2010 #6 Preta said: we mkaribishe tuu usijali sana herufi zake Click to expand... karibu.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 May 31, 2010 #7 Uwe huru kuchangia mkubwa bila woga!
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Jun 1, 2010 #9 Karibu jukwaani, changia sana