ndagabwene
Member
- May 4, 2012
- 43
- 6
Wanajamii habari za leo! Nina tatizo kuhusu hawa jamaa wanaojiita "A&A computers" wanahusika na uuzaji wa computer na utengenezaji wa vifaa mbalimbali kama photocopier,computer na vingine vingi.Hawa jamaa nilipeleka laptop yangu mpya wanibadilishie program lakini hawa jamaa wakaifungua na kufanya wanavyofanya wao mpaka mashine imehalibika kioo,nikawarudishia waitengeze,jamaa wamekataa kabisa kuwa wao wahahusiki na wangeitengeneza endapo ningenunua kwao.Naomba wanajamii kuweni makini na hawa jamaa kwani mashine imeharibika kabisa na kunitia hasara.Hawa jamaa wapo nchi mbalimbali lakini sio waaminifu.
Sasa hii imekujaje hapa,si ungeifungulia thread yake?

your very first post????huyu jamaa sio mtu mzuri na angekuwa anahitaji kujua nini kilitokea zaidi angeenda A&A computers then afatilie kwa ukaribu kwanini ilikuwa hivyo na navyojua AA Computers wanawajali wateja na kuwapa nafasi ya juu kabisa kuliko kitu chochote
huyu jamaa sio mtu mzuri na angekuwa anahitaji kujua nini kilitokea zaidi angeenda A&A computers then afatilie kwa ukaribu kwanini ilikuwa hivyo na navyojua AA Computers wanawajali wateja na kuwapa nafasi ya juu kabisa kuliko kitu chochote