A 10 Seconds Video To Make Your Day....Hillarious

A 10 Seconds Video To Make Your Day....Hillarious

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413


.........
 
Last edited by a moderator:
jamaa kang'atwa ikulu aka mahala ppatakatifu
 
Umona eee.!..Hainogi mpaka uione video....mliobaki msikose uhondo
nimeiona video jamaa na alikuwa anamchezeshea mbwa lesser light maeneo nyeti mbwa kabeba hahahhah
 
mie staki manake nipo na familia nisije nikawaondolea utulivu.
 
Boflo uwe unaweka angalizo mkuu, nimeruka kidogo nivunje kiti bwana.
Huyo mbwa anataka kula uzao wote.
 
Hahahaha hii inashtua yaani kila nikirudia nashtuka inabidi nicheke
 
Huyu mbwa asiyejua hata mali alizonazo bwana wake mbwa wa aina gani?
 
hahhahahahahahahahhahahhahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka hadi boss wangu akazima computer yake akaenda out hahahahhaha
 
Back
Top Bottom