Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Matajiri wote mjini wamenunua mashamba na mitambo wameelekeza nguvu zote kwenye kilimo tena kilimo cha kisasa.Kile cha umwagiliaji! Wao wana capital nzuri....
Waajiriwa kwenye sekta binafsi na Serikali wote nguvu imeelekezwa kwenye kilimo. Hawa mishahara yao inawabeba...japo si kwa kiasi kikubwa sana.
Waajiri nao ndo usiseme.Wote nguvu ipo kwenye kilimo na wanafyeka mapori balaa na kuchimba visima na mabwawa. Hawa wako vizuri...
Vijana tuliomaliza chuo tusio na vipande vya ardhi wala mshahara tutatoboa kweli?Maana ndo lilikuwa kimbilio letu.Sasa huko nako kumeingiliwa!
Shit!