japo hawatasema hapa,ila miyoni kila mtu anajua,..na wanaume wengine anakupa live kabisa,hataki kutumia condom,kuna jamaa mmoja ilidibi tuachane kw sbb hyo,ukimuuliza wt if i get pregnant,anakujibu,u will abort,ntakupa hela,SERIOUSLY???!!..NOT ANYMORE,
😛ound:Chanzo cha mwanamke kutoa mimba ni wewe mwanaume. Mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni wewe dume tamak rea. Kila kibaya kinachomuhusu mwanamke ktk mahusiano wewe mwanaume ndio mbaya. ie Kama nimeduu na wewe nikaconsv na ukakubali majukumu mi ninakichaa nikatoe hicho kiumbe, nizae alafu niolewe na mwingne kwa 7bu gani nawewe upo???? Ndio maana cku hizi tunawachakachua na mimba hatubebi mpk mlie na mizimu ya kwenu na mkituoa mkaleta za kuleta dawa mnaijua. :biggrin1:
Chill au tomato?
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,
40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,
40% wamezaa nje ya ndoa zao,
80% wana watoto nje ya ndoa.
Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.
kama ndo ivo wanaume itakuwa balaaa.:A S 109:
duu uyo alijumlisha kwel hiz takwimu
Mkuu hizi takwimu ni za taasisi gani ya utafiti?
Halafu iweje hizo asilimia jumla yake izidi 100% ?
Takwimu za lini na je ni kwa wanawake na wanaume wote duniani au eneo fulani tu?