90% wanawake wametoa mimba

90% wanawake wametoa mimba

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,851
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,

40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,

40% wamezaa nje ya ndoa zao,

80% wana watoto nje ya ndoa.

Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.
 
...wanaume 40% wamezaa nje ya ndoa zao,80% wana watoto nje ya ndoa....
Hizi ni takwimu tofauti? Au hiyo 80% ina include na wale waliozaa kabla ya kuoa?
 
wanawake karibu 90% wametoa mimba, 40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume 40% wamezaa nje ya ndoa zao,80% wana watoto nje ya ndoa.
Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.

naunga mkono hoja.......
 
Hapo sikubali kabisaaaa mpaka atoe na anukuu vyanzo vya habari na kama siyo kweli ntamtia nundu.
 
Sina cha kuongezea hapa naogopa maana takwimu zinaweza zikazidi hizo ulizozitamka hasa kwa wanawake kutoa mimba na wanawake kushawishiwa kutoa mimba na wanaume.
 
Mkuu hizi takwimu ni za taasisi gani ya utafiti?

Halafu iweje hizo asilimia jumla yake izidi 100% ?

Inawezekana mwanamke mmoja amamtoto kabla kuolewa na ashawah kutoa mimba so its possible ila still source inahitajka
 
source please..............ukisema wanaume 40% wamezaa nje ya ndoa you mean too 40% wanawake wamezalishwa nje ya ndoa and the viceversa is true
 
Inawezekana mwanamke mmoja amamtoto kabla kuolewa na ashawah kutoa mimba so its possible

Kinadharia upo sawa lakini kwa utaratibu wa hisabati za kitakwimu huwezi fanya hivyo...

Hayo ni matukio mawili yasiyotegemeana hivyo huwezi yaoanisha, na hata kama utayaoanisha bado huwezi kuzidi 100%.
 
Takwimu za lini na je ni kwa wanawake na wanaume wote duniani au eneo fulani tu?
 
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,

40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,

40% wamezaa nje ya ndoa zao,

80% wana watoto nje ya ndoa.

Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.

Count me in aiseee!!!:shock::A S 114:
 
Hiyo 90% itakuwa ni ya mademu zake alotembea nao
 
Back
Top Bottom