The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,050
- 48,536
Kama hadi mama na baba wameingia kwenye hiyo 90% yako, so kina nani wamo kwenye 10% ambao na wakweli?
Si ndio hapo, yaani Baba na Mama niwaweke kwenye 90% eti yeye ni muweke kwenye 10%. Tena anawaita wazushi wakubwa!