90% ni uongo!

90% ni uongo!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,315
Reaction score
14,989
Baada ya kufanya utafiti wangu Binafsi ktk Jamii yetu nimekuja kugundua kwamba sehemu kubwa sana ya mambo yanayosemwa ni Uongo na Uzushi, kuanzia mambo ya Mitaani mpaka kwenye Siasa, hivyo usiseme haukuonywa, Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!
 
Tukianza na wewe, hufai kwa uongo
 
Waliosoma elimu ya takwimu wanasema huwezi kukiwe kitu ktk fixed ratio or fixed amount mpaka uwe umefanya Exactly data analysis,
sasa wewe hiyo 90% umeitoa wapi'
 
Yaani wewe ni muongo kiasi kwamba hata unachoandika ni uongo na hakieleweki.
 
Waliosoma elimu ya takwimu wanasema huwezi kukiwe kitu ktk fixed ratio or fixed amount mpaka uwe umefanya Exactly data analysis,
sasa wewe hiyo 90% umeitoa wapi'

Kwani data analysis ni nini? au ina ugumu gani? Si nikukusanya Sampuli tu na kutafuta Wastani na kupata sehemu ya jibu unalolitafuta? sasa hapo kuna ugumu gani? Kupata sampuli ya Watz wanaodaganya ikilinganishwa na wale wasiodaganya au?

Baada ya kufanya utafiti wangu Binafsi ktk Jamii yetu nimekuja kugundua kwamba sehemu kubwa sana ya mambo yanayosemwa ni Uongo na Uzushi, kuanzia mambo ya Mitaani mpaka kwenye Siasa, hivyo usiseme haukuonywa, Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!

Kwa mujibu wa utafiti wako, inamaanisha hata hii hapa chini nayo ni uongo?

Katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa Nyumbani, nimekuja kugundua kwamba Raisi wa kwanza wa Tanzania au sijui Tanganyika Mlm Kambarage Nyerere alitayarishwa na Wazungu (Waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa Nchi!

Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za Mlm Nyerere nikaona kwamba alisoma Tabora Boys, Shule ambayo ilijengwa na Waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha Waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani Watawala wetu, Tabora Boys ilianzishwa kwa kufwata Mfano wa Eton college ya huko Uingereza ambayo mpaka leo Viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo Bw.Nyerere alipelekwa moja kwa moja Scotland kusoma kwa udhamini wa Waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya Ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye Nchi yetu!

Baada ya kutoka huko na baada ya Waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi Nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba Bw.Nyerere alileta Uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya Wazungu (Waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...
 
Kwa mujibu wa utafiti wako, inamaanisha hata hii hapa chini nayo ni uongo?

Ukisoma vizuri utaona kwamba nimeandika Asilimia 90% na SIYO 100% ni Waongo, nafikiri kuna tofauti hapo!
 
Mtafiti, unajua tofauti ya 100% na 90%?

........ Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!

Umeshasema watu wote waongo, wanadanganya kuhusu kila kitu, kisha unasema 90%. Kwa hiyo kwenye hiyo 90% nikuamini wewe nisimwamini hata mama yangu na baba yangu!

Karudie utafiti.
 
Mtafiti, unajua tofauti ya 100% na 90%?

Wewe ndio una matatizo ya kuelewa kilichoandikwa; Nimeandika 90% ya Watz ni Waongo kutokana na utafiti wangu, Na SIO 100% nimeandika SIYO 100% nikimaanisha kwamba ktk hiyo 90% kuna 10% inayaobaki ambayo ndio wanasema Ukweli na mimi nimo humo kwenye hiyo 10%! sasa sijui tatizo lako wapi ktk kuelewa kilichoandikwa au vipi?

Una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa, Nimeandika usiamini "Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo" ukisoma vizuri utaona Neno WOTE linalokuchanganya limetumika kmaanisha Baba na Mama na halihusiani hata kidogo na asilimia 90% niliyoiandika, Soma utaelewa tu!

Na tafiti nyingi sana ni za uongo,kama huu utafiti wako!Watanzania msiamini kila tafiti!
 
Wewe ndio una matatizo ya kuelewa kilichoandikwa; Nimeandika 90% ya Watz ni Waongo kutokana na utafiti wangu, Na SIO 100% nimeandika SIYO 100% nikimaanisha kwamba ktk hiyo 90% kuna 10% inayaobaki ambayo ndio wanasema Ukweli na mimi nimo humo kwenye hiyo 10%! sasa sijui tatizo lako wapi ktk kuelewa kilichoandikwa au vipi?

Una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa, Nimeandika usiamini "Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo" ukisoma vizuri utaona Neno WOTE linalokuchanganya limetumika kmaanisha Baba na Mama na halihusiani hata kidogo na asilimia 90% niliyoiandika, Soma utaelewa tu!

Sikatai huenda nikawa na matatizo ya kusoma na kuelewa hasa hasa kwenye huu uzi wako,

Twende taratibu

Baada ya kufanya utafiti wangu Binafsi ktk Jamii yetu nimekuja kugundua kwamba sehemu kubwa sana ya mambo yanayosemwa ni Uongo na Uzushi, kuanzia mambo ya Mitaani mpaka kwenye Siasa, hivyo usiseme haukuonywa, Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!

Unafahamu maana ya kitu chochote kile? Tena umeenda mbali zaidi kwa kusema kwamba hata awe makini vipi, really?
Vigezo gani umetumia? Kwa nini nisikuweke kwenye kundi la asilimia 90? nashangaa kwa nini hujasema asilimia 100 kwa sababu umesema kitu chochote kinachosemwa ni uongo, sasa hiyo ailimia 10 inatoka wapi?

Wewe ukisema sijui kusoma au kuelewa sio tatizo kwa sababu kwa mujibu wa utafiti wako, utakua unasema uongo.
 
Back
Top Bottom