Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Najua kuna watu watakufa mwaka huu kwa vijiba vya wivu na roho mbaya wakiona hii habari, ndiyo hivyo, asilimia zaidi ya 90 (90%) sisi WatanZania tunakubali utendaji kazi wa Raisi Magufuli kulingana na utafiti uliofanya kama inavyosomeka kwenye Gazeti hapo chini!
Hii imedhihirisha ile imani niliyokuwa nao siku zote kwamba wanaompinga Raisi Magufuli hawaishi TanZania, ni kundi la Watz wachache waishio nje ya TanZania ambao wanamuangalia Raisi Magufuli kwa jicho la Raisi wa Marekani au Ulaya, kwa wao maadamu haongei kama Obama basi anakosea, lkn sisi ndiyo muhimu na sehemu kubwa yetu tunamkubali kama alivyo na ni kwa asilimia 90.4% yetu , dadadaaaki!
Ni mwendo mdundo mpaka 2020, kuna watu watakufa mwaka huu kwa chuki!

HAPA KAZI TU!