Akina prince Boateng wanainjoy naufalme wanao nijambo huwez likuta huko asian country
Inawezekana unayoyasema ni kweli , Iran,Uturuki,Oman,India kote huko kuna mabaki ya watu weusi..Good analysis ...lkn mkuu if so kwann kizaz cha watumwa weus wote waliopelekwa masharik ya kati hakikuendelea kama tunavoona weus wa ulaya na marekan...pale umesema waarabu wanawakubali sana watu weusii
Lkn kuna documentary moja niliichek tv ya al jazeera wanaonesha masaibu ya watu weus wanayopata pale wanajaribu kuku cross libya...walionesha ubaguz wa hatari kuna mwarabu alikuwaa hatak kuwagusa wanaijeria akidai atapata mikos au laana
Ok ok mkuu ni kwel kuna wahindi weusi tiii na huwa wanabaguliwaa sana na jamaaa wa jamii zingne za india skuwahi kujua km n black [emoji1665][emoji1665][emoji1665][emoji1665] remnants..to cut a story we a victim of this planetInawezekana unayoyasema ni kweli , Iran,Uturuki,Oman,India kote huko kuna mabaki ya watu weusi..
Ukweli ni kwamba hizo nchi watu weusi hawapati exposure,..
Kule Oman kuna mji unaitwa Salala,huo mji umejaa watu weusi,Wenyeji wa Salala wanajulikana kama ndio wenyeji halisi wa Oman,ukweli ni kwamba hao ni mabaki ya Watumwa
Ukienda Pakistani pale karachi,utakutana hawa watu wanaojiita SIDI,
Hawa watu wengi wao wanatokea jimbo la Baluchistan,hawa nao ni masalia ya Watumwa kutoka East Afrika,hanakubali moja kwa moja kuwa original yao ni Kutoka Zanzibar..
Uturuki,Iran,Palestina habari ndio hizo hizo,..
Uislam,unamtukuza sana mtu mweusi,kutoka katika aya za Quran,mpaka hadithi za masahaba mtu mweusi ana thamani.sana,..
Kwa vile.Middle.East dini yao kubwa ni Uislam,bila shaka watakuwa wanajua Thamani ya Black Man..
Tafakari,Don't belive everything you read on Newspapers
Hao Sidi anaosema huyu jamaa Sio wahindi weusi ,ni Waafrica kabisa wana kipilipili kichwani kama Sisi,tofauti kbsa na wahindiOk ok mkuu ni kwel kuna wahindi weusi tiii na huwa wanabaguliwaa sana na jamaaa wa jamii zingne za india skuwahi kujua km n black [emoji1665][emoji1665][emoji1665][emoji1665] remnants..to cut a story we a victim of this planet
Watakupiga wavaa makobazi na mzee mohamedi saidiWaarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
Bro Australia mtu black anaheshimika kuliko USA.USA itoe hatakama ubaguz upo lakin nawezasema hii ndo nchi pekee ambayo mablack wanainjoy nakujitengenezea ufalme kabisa hv unawezaenda india ukakuta mweusi anaumaarufu flan nakuheshimiwa! Achia mbali huko kwa waarabu
Wewe ndie unaejua ulichokijibu mkuu, mie huwa naenda Oman mara kwa mara na watu weusi ni wengi tu huko, n wengi wao wanafanya kazi za jeshi.Vigezo vya ubaguzi ni vipi?
Kuna ubaguzi wa race, ukabila, udini na mengi
Sasa kama Kuwait hapo kuna weusi wengi na Sheikh Saad Bin Abdallah alikuwa Mfalme na ni mweusi
Airforce yote Kuwait wengi ni blacks tena wenye Ranks za juu zaidi ( I lived there for 10 years)
Ubaguzi wao ni ukabila na wewe ni nani katika jamii wapo watu wanaitwa stateless ambao waliingia miaka mingi iliyopita kutoka syria na Iraq na wengine wanakaa desert mpaka leo
Ila hawapati uraia maisha yao ila ajira wanapata kama jeshini, polisi,
Sasa je sisi tuko wa ngapi kwenye Ubaguzi?
Hebu fikiria warundi 2000 waandikwe Jeshi waliokuwa Ulyankulu je mtakubali?
Halafu mnawashangaa wengine
Inawezekana unayoyasema ni kweli , Iran,Uturuki,Oman,India kote huko kuna mabaki ya watu weusi..
Ukweli ni kwamba hizo nchi watu weusi hawapati exposure,..
Kule Oman kuna mji unaitwa Salala,huo mji umejaa watu weusi,Wenyeji wa Salala wanajulikana kama ndio wenyeji halisi wa Oman,ukweli ni kwamba hao ni mabaki ya Watumwa
Ukienda Pakistani pale karachi,utakutana hawa watu wanaojiita SIDI,
Hawa watu wengi wao wanatokea jimbo la Baluchistan,hawa nao ni masalia ya Watumwa kutoka East Afrika,hanakubali moja kwa moja kuwa original yao ni Kutoka Zanzibar..
Uturuki,Iran,Palestina habari ndio hizo hizo,..
Uislam,unamtukuza sana mtu mweusi,kutoka katika aya za Quran,mpaka hadithi za masahaba mtu mweusi ana thamani.sana,..
Kwa vile.Middle.East dini yao kubwa ni Uislam,bila shaka watakuwa wanajua Thamani ya Black Man..
Tafakari,Don't belive everything you read on Newspapers
Umenikumbusha Salala mkuu.Inawezekana unayoyasema ni kweli , Iran,Uturuki,Oman,India kote huko kuna mabaki ya watu weusi..
Ukweli ni kwamba hizo nchi watu weusi hawapati exposure,..
Kule Oman kuna mji unaitwa Salala,huo mji umejaa watu weusi,Wenyeji wa Salala wanajulikana kama ndio wenyeji halisi wa Oman,ukweli ni kwamba hao ni mabaki ya Watumwa
Ukienda Pakistani pale karachi,utakutana hawa watu wanaojiita SIDI,
Hawa watu wengi wao wanatokea jimbo la Baluchistan,hawa nao ni masalia ya Watumwa kutoka East Afrika,hanakubali moja kwa moja kuwa original yao ni Kutoka Zanzibar..
Uturuki,Iran,Palestina habari ndio hizo hizo,..
Uislam,unamtukuza sana mtu mweusi,kutoka katika aya za Quran,mpaka hadithi za masahaba mtu mweusi ana thamani.sana,..
Kwa vile.Middle.East dini yao kubwa ni Uislam,bila shaka watakuwa wanajua Thamani ya Black Man..
Tafakari,Don't belive everything you read on Newspapers
Harafu Kuna wafia dini rangi ya mkaa wa pori la tabora, na pwani, hawawezi kukuelewa sijui waharabu hizi tende waliweka nini. Ndo maana kila mwarabu alikopita watu wake ni wavivu sana wanapenda misaada sana akiwa kiongozi hupenda sana kuomba omba Kama Hana akili nzuri. Kila mmoja wetu anajua hiloWaarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
Wewe ndie unaejua ulichokijibu mkuu, mie huwa naenda Oman mara kwa mara na watu weusi ni wengi tu huko, n wengi wao wanafanya kazi za jeshi.
Ubaguzi uliopo kwenye nchi za kiarab ni ule kabila kwa kabila... yaani kuna baadhi ya makabila hujiona kuwa wao wana nguvu kuliko makabila mengine.
Kingine je una title gani ndani ya nchi?
Mie nina ami yangu ni raia wa Abu Dhabi ni mwarab mwenye weusi kidogo lakini anaogopwa sana na hao waarab pure kutokana na mali alizonazo na nafasi yake ndani ya jeshi pamoja na ukaribu wake na Mfalme.
Hii list wameamua kujitungia tungia tu.Argentina ndiyo nchi mbaya sana kwa ubaguzi wa rangi. Katika nchi za bara la america ya kusini, ni nchi iliyokuwa inaongoza kwa kuwa na weusi wengi. Lakini karne ya 19-20 walianzisha mipango ya kishetani kuua weusi kwa kutumia chanjo, vifungo vya maisha etc...mpaka kizazi chote cha weusi kikapotea.
Na ndiyo sababu hata sasa timu zote za kitaifa za soka za america ya kaskazini na kusini utakuta kuna weusi lakini huoni mtu mweusi katika timu ya taifa ya agentina.
Hili swali haliwezi kujibiwa mpaka end of the world. Haahhah... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
Is there any documented evidence about these allegations??Waliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.