9 Most racist Countries in the World

Kwahiyo Mtume alikuwaa mweus kumbe ASANTE KWA TAARIFA
 
Hapa muhanga mkuu wa haya makitu ni mutu mweusi
Mwarabu ni mtu mweusi,ni baada ya kuoana na watumwa weupe wa kizungu,kutoka Ulaya ya mashariki,ndio kukapatikana machotara wa kiarabu na uzungu.Hao wanaobaguwa wenzao,ni mchanganyiko wa waarabu weusi(wa asili) na wazungu,wanawabaguwa wenzao.
 
Kwahiyo Mtume alikuwaa mweus kumbe ASANTE KWA TAARIFA
Mitume yote,walikuta utumwa upo duniani,hata Yesu,alikutia utumwa upo,,Musa alikuta utumwa upo,ndio alipowakomboa Wanaisrael kutoka utumwani,kuwapeleka nchi ya ahadi.Na Musa alikuja mwanzo kabla ya Yesu.
 
Mitume yote,walikuta utumwa upo duniani,hata Yesu,alikutia utumwa upo,,Musa alikuta utumwa upo,ndio alipowakomboa Wanaisrael kutoka utumwani,kuwapeleka nchi ya ahadi.
Ok umenivutia nifanye na ww mjadala mdogo naomba unipe periodization ya mtu mweus wa kwaza kukanyaga ASIA au ulaya kama mtumwa
 
Ok umenivutia nifanye na ww mjadala mdogo naomba unipe periodization ya mtu mweus wa kwaza kukanyaga ASIA au ulaya kama mtumwa
Watumwa walikuwako wazungu weupe wa mashariki,ndio wa mwanzo,kupelekwa nchi za arabuni.Wakati huo tayari mtu mweusi(muarabu),alikuwa ameshatoka Afrika,kwenda huko,mashariki ya kati.Inasemekana hata jina la bara la Afrika,jina la mfalme wa mwanzo,aliyehamia mashariki ya Kati,akiwa ni mweusi,na ndio kizazi kikaitwa Arab(mchanganyiko A kwa maana ya Afrika na rab,chotara wa kizungu.)
Hawa waarabu wa asili,wapo baadhi ya sehemu,na kuna kisiwa kipo,Yemen,wapo wengi tu,ni mji wao.Hata ukifika nchi za kiarabu,waarabu Rangi sio weupe kama wazungu(wao ni machotara wa weusi na weupe).Mzungu anamuhesabu muarabu ni mtu mweusi,sio mtu mweupe(white)
 
Mkuu una tiririka ila neno tu AFRICA naomba nikwambie haijulikan ni nan aliazisha kuna debate kuhusu the word Africa...so kwa maelezo yako unamaniisha historical inhabitants of asia walikuwa ni waaarabu weusi????.....utumwa sikati umeaza miaka mingi mfano China walikuwa under slavery kwenye DYNASTY zao lkn watumwa walikuwa wachna wenzao hao weusi unaosema ww hapa middle east na ulaya walitoka wapi?????
 
Wameandaa wao wakijiweka lengo halitatimia
Mafala sana.
Ukifuatilia historia ya the hate you give thug life utajua hakuna sehem watu weusi walinyanyasika na wanabaguliwa kama USA.
Kuna mauaji ya kimbali yalifichwa ya watu weusi hapo USA.
 
India haifai kuzamia
 
Mtu wa kwanza kusafiri duniani,ni mtu mweusi,alitokea Afrika .Kabla hata mzungu,hajasafiri kokote.Na mtu wa kwanza kuumbwa duniani ni mtu mwenye rangi nyeusi,kwa mujibu wa Qur'an,kwamba ulitumika udongo mweusi ndio kuumbwa binadamu.sisi ndio tunawaita waarabu watu weupe,lakini mzungu, anamuhesabu muarabu ni mtu mweusi.Na ndio ukaona duniani kote,aliyechanya weupe na weusi ndio anaitwa chotara(AfroAmerika,Afro...nk,au halfcast)
 
... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?

Waarabu utumwa hawakuwa wanaufanya kwa watu weusi tuu hata kwenye jamii yao kuna makabila/koo za watumwa kizazi na kizazi kwa hiyo hawa watumwa weusi wengi walikuwa wanatumiwa kwenye kilimo au kazi maeneo waliyofikia huku huku Africa au Asia na sio kuwapeleka huko Arabuni
 
Mtu wa kwanza kusafiri duniani,ni mtu mweusi,alitokea Afrika .Kabla hata mzungu,hajasafiri kokote.Na mtu wa kwanza kuumbwa duniani ni mtu mwenye rangi nyeusi,kwa mujibu wa Qur'an,kwamba ulitumika udongo mweusi ndio kuuba binadamu.
Mwamba nakubali kwenye CREATION THEORY zpo mbili...ile ya Darwin tunaita scientific na ile ya biblical yaan kuhusu dini kama ilivoandkwa .,.lkn twende taratibu MWAFRIKA wa kwaza kwenda yeye mwenyew ULAYA hata kabla ya kina VASCO DA GAMA NA BARTHOLOMEW DIAZ hawajaja huku ni nan?? Je unaweza kunipa maandko yako yapo kitabu gan tuone huyo mweus aliaza safar karne gan alitoka pande ipi alitumia usafiri gan na alikaa ulaya au asia had kumix race kwa karne ngap
 
Mtu mweusi alizunguka dunia,hakutumia usafiri wowote,kwasababu alikuwa mrefu,mwenye afya,kwa kifupi katika Qur'an na hata Biblia,wametajwa hio mijitu mikubwa,ilikuwa ikivuka Bahari maji hayajavuka,unyao.
 
Mtu mweusi alizunguka dunia,hakutumia usafiri wowote,kwasababu alikuwa mrefu,mwenye afya,kwa kifupi katika Qur'an na hata Biblia,wametajwa hio mijitu mikubwa,ilikuwa ikivuka Bahari maji hayajavuka,unyao.
Sawaaa najua kuna stori ya GIANTS je unajua stori ya GOLIATH na Samson jee GOLIATH alikuwaa n mweus???
 
Kuhusu waarabu ubaguzi wanao ila waarabu ni watu ambao ni wepesi kujichanganya na asili nyingine.
Pigia mfano hapa Tanzania.
Waarabu tuko nao mitaa ya uswazi tunafanya nao mambo mengi na tunashirikiana nao sana tu.
Kuna nchi za kiarabu hazina asili ya weupe completely kama Yemeni.Huko kuna ukabila ila ubaguzi wa rangi hakuna.
Misri nakataa HAWANA UBAGUZI KIASI HICHO MAANA HAO WATU WAMECHANGANYIKA SANA NA WEUSI.
HAO WATU NIMESOMA NAO NA NIMEKAA NAO WAMISRI SIYO WABAGUZI KIASI HICHO.
Ila wahindi wanastahili kuwa number moja maana hata hapa Tanzania wahindi wanajitenga sana na wanajibagua waziwazi na wengine.Ukifuatilia ht Tz wamejitenga mitaa ya kivyao wahindi ni wabaguzi wanabaguana mpk wenyewe kwa wenyewe.
Ila hii list kama Italy,USA,China na Korea hazipo hii list haifai.
Maana hayo mataifa yana ubaguzi kiasi cha kuita watu weusi kinyaa.
 

Hapa maelezo yako ya mwisho nakubaliana nayo, maana nimeish na Wamorocco hiwa wanawaita wazungu "white people", nilijifunza hili kutoka kwao kuwa they dont terme themselves kama whites.
 
Mwarabu ni mtu mweusi sio mweupe,hao unaowaona weupe,ni mchanganyiko wa watumwa weupe,wazungu kutoka Ulaya ya mashariki,waarabu(wa asili weusi),kuoana na watumwa wa kizungu kutoka Ulaya ya mashariki.
Siyo kwamba kuna waarab weupe na waarabu weusi kama vile Wasudan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…