Mkandara, nadhani umepitiwa kidogo ndugu yangu nilijibu issue kuhusu Sullivan na GWI.Wanabodi,
Mtanisamehe maanake maswali yamekuwa mengi nashindwa hata kufuatilia ila nitakachosema ni kwamba yote mlozungumza yanazidi kupotosha umma.
nashindwa kuelewa kama anayetakiwa kulaumiwa ni JK ama AY kwa sababu kama JK ni fisadi na huyo fisadi mnamjengea ngome asikutane na AY fisadi mwingine hapa nashindwa kuelewa. na kifupi sijawahi kuona dunia ya leo mfanya biashara ambaye ataweza kuionea huruma Afrika kama sio sisi wenyewe na hasa tukipata kifua cha Sullivan.
Pili, Susuviri ameshindwa kabisa kutenganisha maelezo yangu kuhusu AY akiwa co founder wa GWI na kazi zake halafu kama mwenyekiti wa Sullivan foundation kiasi kwamba unataka tuamini kuwa AY ndiye mwamuzi wa dira ya Sullivan foundation na GWI yaani hawa ni kitu kimoja ama Sullivan imevumbuliwa na AY kama vile Foundation zakina Bill gates na Clinton.......Susuviri, unapokazania kuwa malengo ya AY ni fedha una maana gani haswa?... maanake madai kama haya naweza sema kuwa JK, kuwa rais kasukumwa na fedha kwanza, hali nachofahamu mimi JK ilikuwa ni ambition yake - ile ndoto ya kukalia kiti cha Urais. Zaidi ya hapo pia naweza sema sisi sote wafanyakazi tunasukumwa na fedha kufanya kazi na sio wajibu wetu kufanya kazi. Ubishi kama huu hauwezi kuwa na suluhu kwani hkuna kati yetu nyeweza kufanya kazi bure.
Pili, niliseme kuwa hiyo summit ya Arusha itaweza kutuletea fedha badala ya kuandaliwa nje ambako kila siku cost zake huwa ni kubwa zaidi. Yatakayofuatia baada ya mkutano huo siyafahamu ila nachojua kutakuwepo na deal nzuri zenye malengo mazuri maadam sisi tuwe na msimamo wetu ktk mikataba hii. ulichojaribu kubadilisha hapa ni kuchanganya mazuri ya wakati wa mkutano huo na yale yatakayofuata baada yaa.
Kisha labda hufahamu jinsi watu wanavyofanya kazi zao dunia hii ya mtandao...mjomba unaweza kumkuta Bill Gates ktk makampuni zaidi ya matano na uhusiano wake ukakupa taabu kuelewa. hadi hapa sijaona kitu kinachoweza kunipa hofu na hata hiyo GWI ikiwa hawa ni consultant firm tu, uamuzi wa mwisho unao wewe mwenyewe.
Jasusi, .....
Hivi yule congresman Jefferson anayefanya dili na Afrika ambaye alibambwa na FBI hayuko na hawa jamaa?
Bado yupo kwenye Congress na alikuwa ni mnene katika mambo ya African Affairs. Alibambwa na laki moja kwenye friji kwenye sting operation ya FBI. Ni wa Louisiana kama sikosei na kafanya biashara sana Nigeria!Kama una full name yake utanirahisishia kazi yangu. Also alitimuliwa mwaka gani from congress.
Thanks for the info!
Kishoka,
Congressman Jefferson was a lone ranger. Yeye alishirikiana zaidi na VP wa Nigeria, Atiku something.
I hope this is what you are referring to Rev Kishoka:
http://projects.washingtonpost.com/congress/members/j000070/?nav=el
http://www.washingtonpost.com/wp-dyn/content/article/2006/07/21/AR2006072101536_pf.html
Nimejaribu kufanya utafiti wa haraka lakini sijaona link ya AY na Jefferson, hata hivyo bado ndo kwaaanza naanza. However Atiku na Obasanjo ni paka na mbwa! So ukiwa kwenye kambi moja huwezi kuwa kambi nyingine.
Lakini wenzetu wa Nigeria wako makini, maana wanaandika kila kitu bila kuogopa! Ngoja nirudi nikajichimbie tena!
Duh! hapa ndipo napochoka na Wabongo..
Damn, ndio maana Wakenya wamechukua mlima Kiimanjaro, sisi tumebaki kulaumu tuuu hata kama hatufahamu nini malengo ama minutes za mkutano mzima. Yaani huu mkutano tu umeyazua yote haya na kama hayupo Bush ama kiongozi mweupe anayejulikana basi hili ni deal la walaji!...wakati tumesha liwa sana na wa South, Waarabu wakaingia Wagiriki na Wataliani, waingereza na mwisho Wa - Canada wotenao wanatumaliza bado tu wasiwasi wetu mkubwa ni mtu mweusi mwenzake..Ni tabia ambayo imefanya Watanzania tuogopane hata huko nchi za nje hatuna ushirikiano kabisa zaidi ya upishi wa majungu...
Ukitazama saana hii ni tamaduni yetu Wabongo kuwa ni bora apate mtu wa nje (hasa mzungu ama mweupe) lakini sio rafiki ama ndugu yako!..Na atakayepata ni zake binafsi hazina ubia na mtu.
Kutokana na hali kama hii kamwe hatuwezi kuendelea kwani huu sio ujanja hata kidogo ila ni kuwa insecure na maradhi yanayotokana na inferiority complex. Mara nyingi ni vigumu kwetu ku question utajiri, elimu ama uwezo wa Mhindi, mzungu ama mwarabu lakini inapofikia kuwa ni mmatumbi mwenzetu.... Loooh! hata kamati za ufundi zitatembelewa...
Mkandara,
Sasa hivi hapendwi mtu! Awe Mmanga, Mbulushi, Mchina, Mthailnd, Mzungu au Mnugu!
Tatizo si nia ya AY au Sullivan ambao wote ni lobbyist walioko ule mtaa maarufu pale DC K Street. Tatizo ni what does Tanzania get or benefit out of this?
Ukiangalia picha ya Karamagi, Mahiga, Young (board Member wa Barrick) na huyo mtasha (is is Sinclair?) ambayo ilipigwa mwaka jana, halafu February ya 2007 Karamagi anaingia mkataba wa miaka 50 ambao mnufaikaji wa 99% ni Barrick na si Tanzania, then you have to be suspicious of everything that is happening at current state of Tanzania.
Kasungura ana jeshi lake la kula na kukwapua bila huruma (IPTL, TDC, DAWASCO) na Muungwana ni Mtwana wa Sinclair, Barrick, Tudor kupitia Karamagi.
Kama Pundit alivyosema awali, Muungwana si lazima awe na meno makali kama Kasungurabali yeye ni facilitator mkubwa kwa cheo chake (ama kwa kujua au bila kujua).
Sasa ukisoma maneno ya Cynthia Mckinney, itabidi ujiulize, Bulyanhulu walizikwa watu wakati Muungwana alikuwa waziri wa madini. Sinclair altamka hadharani 2004 kuwa Rais ajaye wa TZ ni rafiki yake wa Takriban miaka 17 (Sutton ilishaingia Tanzania at that time na waziri wa madini aliyeshughulikia Sutton ni Muungwana), Karamagi kasaini mkataba 2007 halafu 2008 Kongamano laja kutaliii Arusha na watakaa kwenye hoteli yao Mount Meru, jee ni faida gani Mtanzania anapata? is this the win win situation?
Jee Kamati ya Bomani wanaweza kufanya kazi yao kwa makini kuhusu mambo ya madini ikiwa principle mkuu wa yote haya anapewa sifa na Board Members wa Barrick?
On the other hand, kama wao (Sullivan, GoodWorks) ni lobbyist, na mshikaji Richard anafanya kazi nao, ni vipi walituachia tukazama mkenge na RDC, Buzwagi au hili skendo la ATC?
Hapa Mkandara, sijui utasemaje? Unaona ni vitu gani ambavyo hawa watu wanafanya? Maana Masters na AY na Jeter wote ni Sullivan na walipeleka summit kwanza kwa same pretext like sasa hivi Bongo (from Abuja to Arusha! au siyo?)Nigerians abroad are questioning the appointment of a non-African born and controversial confidant of President Olusegun Obasanjo, Mr. Carlton Masters as ECOWAS Special Envoy for African Diasporan Relations.A statement released in Washington D.C earlier in the week by Masters' Goodworks International-which he co-founded with Andrew Young, a former US Diplomat to the UN announced that ECOWAS has named Masters to the position, the first of such an appointment by the regional organisation.
Masters, whose marriage was reportedly sponsored by President Obasanjo and held in Abuja, is known as the main international arrowhead of the controversial launching of the Obasanjo presidential library, an issue that continues to generate ripples raising ethical questions.One of such questions is whether a sitting president ought to embark on such private venture fundraising which some allege include a subtle arms-twisting of holders/managers of state resources, private persons and companies-both local and international. Masters' role is central in the international effort to get multinationals to donate to the Obasanjo presidential library, and he has owned up to this publicly.
Besides the Goodworks International, is known to be a registered lobbyist for Nigerian government here in the US, and Young has publicly attested to the fact that President Obasanjo is the main reason why Goodworks International has not gone belly-up.
As in the days of military dictatorship, the federal government of Nigeria is still actively in the business of retaining foreign lobbyists in the United States paying them hefty sums of money even though Nigerian embassies are abroad are often cash-strapped and financially insolvent, Empowered Newswire reports.
Leading the pack among the lobbyists the federal government continue to retain in the US, is Ambassador Andrew Young's GoodWorks International, which is said to have made millions from Nigeria as a lobbyist since President Olusegun Obasanjo's first term in office. GoodWorks has been retained since 2001 and continues to be retained by the government to date.
In one instance in 2004, the Obasanjo administration paid the firm where Andrew Young is Chairman about half a million dollars to talk to Nigerians abroad to do business in Nigeria. At the same period, the firm was retained by Nigeria to counter proposed sanctions against Nigeria because of the asylum offered to former Liberian president Charles Taylor.
The Summit is presently involved in discussions to launch a major HIV/AIDS education and containment program that will benefit millions of children over the next five years. The announcement of this initiative took place at the Sullivan Summit VI in July 2003. It was also at this last Summit that Reverend Sullivan announced the Global Sullivan Principles. The Global Sullivan Principles are an update of the apartheid-busting principles that were applied to South Africa and were devised to ensure fair hiring and business practices by international corporations throughout the world.
Summit VI in Abuja, Nigeria, attracted unprecedented high-level political attention and the largest sum donations since the Summit movement began. Summit VI was attended by President George W. Bush (the first presidential visit to Africa), Secretary of State Colin Powell, and National Security Adviser Dr. Condoleezza Rice. ......
In one of its most defining moments of 2006, the Foundation convened Sullivan Summit VII (SSVII) in Abuja, Nigeria, July 17-20, 2006, where it engaged over 2000 business leaders, academics, ten Heads of State, 45 official delegations from Africa, the U.S. and Europe, and other NGO representatives.