89% Hamtatazama wala kuona mkufu

Binti anatekeleza kwa dhati dhana ya "Biashara ni matangazo"
 
Na 'nido' imejaa du... akikamua hahitaji biashara nyingine....
 
Mimi naona hapo nyuma yake kuna Dust-bin anasubiri akamwage takataka nini?
 
Nimeangalia bei ni ndogo sana, kumbe ni 50,000 pamoja na mishauo yote hiyo. Ni vema angerudi kutangaza kipindi cha watoto RadioOne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…