89% Hamtatazama wala kuona mkufu

89% Hamtatazama wala kuona mkufu

Binti anatekeleza kwa dhati dhana ya "Biashara ni matangazo"
 
Mimi naona hapo nyuma yake kuna Dust-bin anasubiri akamwage takataka nini?
 
Nimeangalia bei ni ndogo sana, kumbe ni 50,000 pamoja na mishauo yote hiyo. Ni vema angerudi kutangaza kipindi cha watoto RadioOne
 
Back
Top Bottom