80%+ ya wanasiasa Tz ni wachumia tumbo

Nondoh

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
298
478
Hasa kwa hizi nchi za kiafrika more than 80% ya wanasiasa ni WACHUMIA TUMBO.

Ni vigumu mno kwa mwanasiasa kukiishi kile anachokiamina, siku zote wanaishi kwa kuusoma upepo. Upepo utakakovuma ndio huko huko wao huelekea, na wakati mwingine hadi kuzikana kauli zao, eti alinukuliwa vibaya.

Wengi wao ni wajanja wa kubakiza maneno, maneno ambayo yatawalinda ikitokea upepo umeenda ndivyo sivyo.

Kuna SMS inasambaa ktk whatsapp mbunge Elibariki Kingu akijiapiza suala Bashite akisema kwa hili la Makonda, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM kama kumpinga Makonda itaoneka ni usaliti.

Haya sasa mkulu mwenyekiti wako wa chama kampa Bashite go ahead, please Mh. Elibariki Kingu sasa ni wakati wako wa kuiishi kauli yako ili usiwe miongoni mwa 80% ya wanasiasa wachumia tumbo.
 
Asisubiri kufuzwa aondoke mapema
 
Hahaaa mtu kama Mwakyembe ingekuwa ni majuu angeisha jiuzuru hadi watu wakasahau kwa Bongo Kiongozi anaweza hata tukwana na bado akang'ng'ania nafasi yake. Njaaa mbaya sana ndo inayo sababisha haya yote
 
Back
Top Bottom