Hizo nafasi zinapatikana kwa uwazi kabisaaaa. Nina washkaji zangu wapo pale bila upendeleo.
Miaka ya nyuma walikuwa hawatangazi bali wanaenda vyuoni kuomba wale wanafunzi wenye GPA nzuri kisha wanafanyiwa Interview wanachukuliwa.

Upo Mkoa Gani?
Dar Es Salaam Walipo BOT Unakwenda Hadi Postal
Halafu Kwakuwa Inaonekana Siyo Mwenyeji
Uliza Wizara Ya Fedha Ilipo (Zamani) Ukifika Hapo Ni Jirani Ama Ikulu