Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,165
- 85,176
Bado zipo au wameishapeanana kutoa tangazo kama geresha?
Hizo nafasi zinapatikana kwa uwazi kabisaaaa. Nina washkaji zangu wapo pale bila upendeleo.Bado zipo au wameishapeanana kutoa tangazo kama geresha?
Taratibu mambo kumbe yanabadilika. Vijana changamkieni ajira basi.Hizo nafasi zinapatikana kwa uwazi kabisaaaa. Nina washkaji zangu wapo pale bila upendeleo.
Miaka ya nyuma walikuwa hawatangazi bali wanaenda vyuoni kuomba wale wanafunzi wenye GPA nzuri kisha wanafanyiwa Interview wanachukuliwa.
ukisikia bongo nyoso ndo hapa na si ajabu uka ambiwa tayar kuna watu wanapiga mzigo uko tayarHivi hizi nafasi hawajaita tu bado?
ukisikia bongo nyoso ndo hapa na si ajabu uka ambiwa tayar kuna watu wanapiga mzigo uko tayar
Upo Mkoa Gani?Kama ni kupeleka maombi 'physically'. Kwa DSM, BoT ipo wapi Ndugu zangu?