80 New Job Opportunities At Bank Of Tanzania (BOT), June 2021- (Various Posts)

Hizo nafasi zinapatikana kwa uwazi kabisaaaa. Nina washkaji zangu wapo pale bila upendeleo.
Miaka ya nyuma walikuwa hawatangazi bali wanaenda vyuoni kuomba wale wanafunzi wenye GPA nzuri kisha wanafanyiwa Interview wanachukuliwa.
Taratibu mambo kumbe yanabadilika. Vijana changamkieni ajira basi.
 
Kama ni kupeleka maombi 'physically'. Kwa DSM, BoT ipo wapi Ndugu zangu?
Upo Mkoa Gani?
Dar Es Salaam Walipo BOT Unakwenda Hadi Postal
Halafu Kwakuwa Inaonekana Siyo Mwenyeji
Uliza Wizara Ya Fedha Ilipo (Zamani) Ukifika Hapo Ni Jirani Ama Ikulu
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom