8 Figures Celebrities Approved By Allien

8 Figures Celebrities Approved By Allien

Allien

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2008
Posts
5,546
Reaction score
1,861
Wapo Celebrities wengi sana duniani. Hata hivyo ni wachache sana waliopata bahati ya kuwa Approved yaani KUTHIBITISHWA na Allien kuwa ni Wazuri wa Kiwango cha Juu isipokuwa wafuatao: (NB: Please zingatia kuwa hii ni kwa taarifa tu na wala si ubishani maana Approvals zimeshatolewa):

hot+celebs+(11).jpg

hot+celebs+(14).jpg

hot+celebs+(16).jpg

hot+celebs+(17).jpg

hot+celebs+(2).jpg
 
Loooh, mbona wengine wana nido / matiti makubwa mno mpaka inampa mtazamaji maswali mengi ya kujiuliza. Any way, kwao huko ndiyo trend ya mambo, the bigger the breasts, the more attractive a woman is!!!
 
.
"as approved by allien"?!! --- naona umekuwa tbs siku hizi!

我tbs和iso批准,因为很久以前。今天,我还没有开始!
 
Loooh, mbona wengine wana nido / matitio makubwa mno mpaka inampa mtazamaji maswali mengi ya kujiuliza. Any way, kwao huko ndiyo trend ya mambo, the bigger the breasts, the more attractive a woman is!!!

Umeona Eeh Mama Mdogo . . . wale wa mkoa wetu wa Katavi niaje?
 
Last edited by a moderator:
Wamependeza
Hawajapendeza?

Mwenye wivu.....
Kauli ya Maasai.
 
Hao siamini kama original...hizo ni made ni guanzhou
 
hao alliens wanapenda wanawake wenye maziwa makubwa?
 
Umeona Eeh Mama Mdogo . . . wale wa mkoa wetu wa Katavi niaje?

Kwetu Katavi mambo si haba, wengi wa wanawake wa huku wana matiti size ndogo na ya kati, na wachache ndio hao wenye matiti makubwa. Nasikia huko kanda ya kaskazini ndiko makao makuu ya matiti makubwa makubwa, ila sina takwimu za kisayansi, mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Mmh! Hao wa kanda ya kaskazini ni ya asili au ya kuchonga?
 
Back
Top Bottom