NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,423
- 2,414
Heshima kwenu wakuu.
Well, kwenye android phones kuna versions ambazo zinakubali kuwa na muonekano mweusi wa kioo na versions nyingine hazikubali muonekano mweusi wa kioo.
Sina hakika sana ni version gani ya android ila nafkiri ni android 9 (Pie) na kuendelea, lakini kuna apps ambazo zenyewe binafsi unaweza kuwezesha muonekano mweusi wa simu bila ya kuwa na hiyo android version 9.
Baadhi ya apps ambazo zinaweza kuwezesha hiyo dark theme/mode ambazo ninazo kwenye simu yangu moja ni truecaller...!
Na mode nyingine ambayo natumia ni ya Google ambayo ni hiyo hapo chini...
Ila kwenye Google kuna websites nyingi ambazo zinaonesha muonekano mweupe japo dark theme imewezeshwa kuwa ni nyeusi, kwa nini isiwe dark pia kwenye websites ambazo natembelea wakati nimeshawezesha dark mode/theme kwenye simu yangu wakuu...?
App nyingine ambayo natumia iliyo na dark theme ni JamiiForums.
Kama kuna apps nyingine ambazo mnazifahamu zinazoweza kuweka muonekano mweusi kwenye kioo naomba tusaidiane kushea wakuu...!
Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
Thanks a lot wakuu.