75 asilimia hupokea chini ya 2mil kwa mwezi.

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
utafiti wangu wa haraka kwa wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi umeonesha wengi wa wafanyakazi huishi kwa kupokea mshahara chini ya milioni 2 kwa mwezi.

Maisha huendeshwa kwa "dili" ndani na nje ya ofisi husika.

ni asilimia chache ya wafanyakazi hapa nchini hupokea mshahara kuanzia milioni mbili na kuendelea.

kama nakosea nisahihishwe.
 
Mimi sitafuti kazi kwa wanaotafuta kazi, mimi natafuta kazi kwa wenye kazi...!
 
huko maofisini usione watu wameuramba, wanapokea mshahara mdogo ajabu ndio maana wanaiba. mshahara wanaopata wafanyakazi wa serikali hata mwezi hauishi unatakiwa kuwa umeisha. lakini utaona wana magari fresh ya wizi au hata kama ni mkopo, si rahisi kusavaivu bila wizi. serikali yapasa kuongeza mishahara kwa kweli.
 
huo ni ukweli mchungu mkuu. taaluma haziheshimiwi. wanasiasa wanajipendelea. ndio maana kila siku ni utitiri wa vyama. its a high time now taaluma sasa ziheshimiwe kwa namna hiyo nchi itaendelea.
 
Nadhani ni chini ya million coz kuna mishahara ya kima cha chini sana.
 
mtu kaulamba vibaya mno. angalia salary slip baada ya makato laki 6. halafu uliza mali alizonazo. gari ya mkopo 11 mil. anapanga nyumba kodi 3k. kila siku anakunywa bia. bado anahonga. its a sad life. ila ndivyo maisha ya wengi yalivyo. bado sisi ni maskini mno.
 
Mkuu namiliki kampuni yangu ya LUBAJARO INVESTMENT Co. LTD, ina deal na Transportation ya Mazao ya Chakula, nasafirisha Sudan Kusini, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi, Zambia, DRC Congo, Rwanda, Uganda na Burundi...!
 
umetaja ndefu sana. asilimia 50% ya wafanyakazi wa serikali kabla ya makato ni laki sika hasa wale ambao wamefanya kazi chini ya miaka mitano. lakini hapohapo utakuta ana gari inayokuwa alfu ishirini kila siku kwenda kazini na kurudi, bado kula chai na mchana, mkewe anapewa pesa, watoto wanasoma shule za milioni na nusu na ana watoto watatu. na anajenga nyumba ya kueleweka. hiyo laki sita utakuta wamekata kwa mwezi mkononi anabakiwa na laki mbili na nusu au laki mbili, lakini ana maisha mazuri tu. unajiuliza dah.
 
Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-
- huenda serikali kwa njia moja au nyingine inahusika kutengeneza maskini.
- huenda serikali inahusika kutengeneza wezi wa raslimali za umma.
- huenda serikali imeajiri wezi badala ya watoa huduma ambao ni jamaa zao na inawalinda kuliko inavyolinda raslimali za umma.
- huenda anaiamsha serikali ili kuongeza viwango vya mishahara itakayotosheleza.
- huenda anaiambia serikali iajiri watu kulingana na fani zao na si kwa kujaza nafasi ili iweze kuwadhibiti.
- huenda anaiasa serikali itenge siasa na taaluma ili kuliepusha taifa kukosa maadili na nidhamu ya uwajibikaji.
Asante mleta uzi kwa kuthubutu kuiasa serikali kuepuka na mfumo mbovu wa kuajiri na kulipa mishahara kiduchu pamoja na kuwaumba na kuwalinda wezi wa raslimali zetu.
 
Mkuu namiliki kampuni yangu ya LUBAJARO INVESTMENT Co. LTD, ina deal na Transportation ya Mazao ya Chakula, nasafirisha Sudan Kusini, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi, Zambia, DRC Congo, Rwanda, Uganda na Burundi...!

hongera mkuu that is really something.
 
Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-

haha mkuu watu wanahasira maana ni ukweli wengi wanapokea mishahara hiyo. that is a reality. we have to live with it. nchi maskini hii. haha.
 
Nadhani ni chini ya million coz kuna mishahara ya kima cha chini sana.

mkuu hiyo 2mil nimeiweka tu hapo ili kupunguza matusi. lakini ukikuta mtumishi wa serikali analipwa 1mil huyo ni wa kipekee sana. hii inapelekea fedha nyingi za maendeleo za serikali kuishi mifukoni mwa watumishi kwa namna moja au nyingine.
 
Mkuu namiliki kampuni yangu ya LUBAJARO INVESTMENT Co. LTD, ina deal na Transportation ya Mazao ya Chakula, nasafirisha Sudan Kusini, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi, Zambia, DRC Congo, Rwanda, Uganda na Burundi...!
nafikiri we we unaweza kuwa mdau mzuri wa huku kulialia kwetu nafikiri kuna haja ya kufungua page nyingine tuweze kupata success story zinaweza kuwatoa vijana mafanikio ya watu zaidi zinahitaji simulizi za mafanikio.
 
haha mkuu watu wanahasira maana ni ukweli wengi wanapokea mishahara hiyo. that is a reality. we have to live with it. nchi maskini hii. haha.

Wewe utakua unaleta dhihaka!kinachokufanya ucheke sana ni hasa hapo!
 
Back
Top Bottom