75 asilimia hupokea chini ya 2mil kwa mwezi.

75 asilimia hupokea chini ya 2mil kwa mwezi.

Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-
- huenda serikali kwa njia moja au nyingine inahusika kutengeneza maskini.
- huenda serikali inahusika kutengeneza wezi wa raslimali za umma.
- huenda serikali imeajiri wezi badala ya watoa huduma ambao ni jamaa zao na inawalinda kuliko inavyolinda raslimali za umma.
- huenda anaiamsha serikali ili kuongeza viwango vya mishahara itakayotosheleza.
- huenda anaiambia serikali iajiri watu kulingana na fani zao na si kwa kujaza nafasi ili iweze kuwadhibiti.
- huenda anaiasa serikali itenge siasa na taaluma ili kuliepusha taifa kukosa maadili na nidhamu ya uwajibikaji.
Asante mleta uzi kwa kuthubutu kuiasa serikali kuepuka na mfumo mbovu wa kuajiri na kulipa mishahara kiduchu pamoja na kuwaumba na kuwalinda wezi wa raslimali zetu.

asante mkuu kwa kunielewa kwa asilimia zote. inasikitisha mno kuona watu wakiamka asubuhi wanawaza kwenda kupiga dili maofisini ili kujaribu kuingiza siku badala ya kwenda kufanya kazi kwa ufanisi. unategemea kwa maisha ya aina hiyo hii nchi itaendelea lini?? never ever. sahau. tutaendelea kukopa mpaka dunia iishe wakati rasilimali tunazo. sad.
 
utafiti wangu wa haraka kwa wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi umeonesha wengi wa wafanyakazi huishi kwa kupokea mshahara chini ya milioni 2 kwa mwezi.

Maisha huendeshwa kwa "dili" ndani na nje ya ofisi husika.

ni asilimia chache ya wafanyakazi hapa nchini hupokea mshahara kuanzia milioni mbili na kuendelea.

kama nakosea nisahihishwe.

Ulitaka waishi maisha ya dhiki kama enzi za Mwinyi ili mwapande kichwani siyo? Acheni wapige hela ili heshima iwepo alaaaa!!
 
utafiti wangu wa haraka kwa wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi umeonesha wengi wa wafanyakazi huishi kwa kupokea mshahara chini ya milioni 2 kwa mwezi.

Maisha huendeshwa kwa "dili" ndani na nje ya ofisi husika.

ni asilimia chache ya wafanyakazi hapa nchini hupokea mshahara kuanzia milioni mbili na kuendelea.

kama nakosea nisahihishwe.

Wewe embu acha ujinga badala ya kuleta changamoto za kuwasaidia kupata zaidi ya hapo wewe unaleta jokes au umetumwa??
 
If you dont create opportunities in an organization or institution , then u ultimately create thieves...
 
Mimi sijaajiriwa wala sina mradi lakini mafuta naweka naenda kubangaiza na familia inakula na kodi ya nyumba nalipa ila vyeti viko sandukuni sijabahatika kuajiriwa wala kukopa nianze biashara legal
 
utafiti wangu wa haraka kwa wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi umeonesha wengi wa wafanyakazi huishi kwa kupokea mshahara chini ya milioni 2 kwa mwezi.

Maisha huendeshwa kwa "dili" ndani na nje ya ofisi husika.

ni asilimia chache ya wafanyakazi hapa nchini hupokea mshahara kuanzia milioni mbili na kuendelea.

kama nakosea nisahihishwe.

uko sahihi, kinachofanyika serikali kutotoa mishahara kuendanana na hali ya maisha inapelekea

watumishi waiibie serkali mambo yafuatayo

kwanza serikali na watumishi wanakomoana

1. dili hufanyika sana, maarifu kwa majina mengi, halmashaur moja inaita kuandika dokezo.

2. watumishi wanaofanya degree mbalimbali wakiwa kazin hawasomi tena fani ile, bali huomba ruhusa kuwa anakuwa admitted say udsm education, au medicine au llb na yy anakuwa penginee akisoma anachotaka.

3. Watumish hukaa makazin muda mdogo kuliko kweny business zao.

4. Kuuza, kupiga bei mali za umma
 
Kabla ya kuitaji mshahara mkubwa ivi kwanini hampini na kazi unayofanya? Uwezo wako WA kazi ni mdogo, ubunifu 0 cheti fake alafu unataka 2M loo.
 
mtu kaulamba vibaya mno. angalia salary slip baada ya makato laki 6. halafu uliza mali alizonazo. gari ya mkopo 11 mil. anapanga nyumba kodi 3k. kila siku anakunywa bia. bado anahonga. its a sad life. ila ndivyo maisha ya wengi yalivyo. bado sisi ni maskini mno.

Anahonga kiasi gani labda?
 
Back
Top Bottom