7 sins u must never commit against a woman...

ndo maana nimesema hivyo, sababu nimeshastaafu.....
yaani kama sijapata kichapo siku zote hizo ndo nije nipate sasa?
kwa lipi kubwa la kustahili kichapo?


Umestaafu saa ngapi wakati nasikia ukirudi tu, unapewa likizo ya kutembelea labour ward??

Haya bwana, kama umestaafu basi karibu kwenye lichama letu....

Babu DC!!
 
Umestaafu saa ngapi wakati nasikia ukirudi tu, unapewa likizo ya kutembelea labour ward??

Haya bwana, kama umestaafu basi karibu kwenye lichama letu....

Babu DC!!
wewe ndo unadhani naweza pewa hiyo likizo......
hata gfs nina uhakika anaweza asikupe habari kwa kina, maana ananionea wivu sana na kinamuuma kunipa ile salamu ya kiutu uzima. mimi ningekuwa wewe wala nisingeendeleza hili, ningejisalimisha tu..... do the needful babu
 
Mhh sio kweli kabisa wanawake ni kama ngano!!hawaeleweki mara leo chapati,mara andazi,sambusa,mkate etc hata ufanye nn

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sbb ya yeye kuwa hivyo ni jinsi wewe mwanaume ulivyomtreat......lazima utakuwa unfair kwa mambo fulani ambayo yamemchukiza au kumuumiza.
 
No 3 inaongozwa kwa kubemendwa kwa kweli, Uaminifu umekuwa adimu kama ile noti nyekundu ya mkoloni. Heshima bila uaminifu ni sawa na nyumba bila mlango tena iko karibu na mbuga.
 


Ngoja nikuache ufurahi make sie wa 1947 tunawajua vile nyie wenzetu...

Mkishindwa jambo basi hapakaliki..inabidi mpewe ushindi ili tusivuruge amani ya nchi...

Babu DC!!
 
Ngoja nikuache ufurahi make sie wa 1947 tunawajua vile nyie wenzetu...

Mkishindwa jambo basi hapakaliki..ibadi mpewe ushindi ili tusivuruge amani ya nchi...

Babu DC!!
ha haaaa, nimechekaje sasa!
ushindi wa mezani kuna ambaye haupendi?
ila usisahau ukishaamka tu utoe ile salamu.
ukiona noma hapa hadharani wajukuu watakucheka basi hata chumbani inatosha, sitawaambia watu
 
ha haaaa, nimechekaje sasa!
ushindi wa mezani kuna ambaye haupendi?
ila usisahau ukishaamka tu utoe ile salamu.
ukiona noma hapa hadharani wajukuu watakucheka basi hata chumbani inatosha, sitawaambia watu

Ngoja nichekepo kidogo kisha nikalale....

Babu DC!!
 
Fanya kila jema kwa mwanamke kwa furaha ya kutengeneza amani ya moyo wako na maisha yako.
Ila usijaribu kumuelewa mwanamke kila kitu utaweza pata uchizi kabisa kama siyo kuanza kumpenda upya.
 
fanya hayo sasa ndo uone kama ni ngano au so ngano
tatizo when u want the right girl u should also be mr right one

You said shosti. Tatizo lao wanafail kwenye handling....mwanamke ni mtu ambaye akkipenda anapenda kweli, na if you handle her inavyotakiwa mapenzi yatakuwa ya kiparadiso. Hawtaki kukubali sbb kwao ni impossible kufanya hivyo
 
Cardinal sins against women are two. Kumpiga na kumbaka. Hapo no kuua tu kwa self defence na kuwahi polisi kumshtaki marehemu.
 
Give her kindness, she'll give u
LOVE
mwanamke ukimwonesha kindness anakugeuza zombi

Yaani umenichekesha sana jamani....but ki ukweli mwanamke ukinpenda na kumjali kweli hawez fanya hivyo unless hakupendi.

Kinyume chake kwa wanaume...mwanamke ukiwa loving, kind and caring mwanamme atatake advantage ku abuse that love either by cheating au mambo mengine.
 

Babu DC hii imeandikwa kwa chapaa/mhuri wa chuma no ammendments

Kama unampiga bibi nitaenda TAMWA ujue babu...kwanza najua unavompenda bibi tena kw akipindi hiki cha kuzeeshana mkila pensheni ni full kupendana.

Au nadanganya? Labda unpe kichapo kw aupande wa kanga.
FP nisaidie niliyosema nadanganya?
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nilimwambia babu kama kuchapwa na makonde basi siku hiyo nitajua namba za simu za madalali wooote mjini
 

experience imenifunza hivyo,nilimpenda binti moja nikawa kind kweli kwake,akitaka hichi nampa,akinikataza hichi nakubali,akinuna kidogo samahani zinakua nyingi ila akaniona ---- anawaambia mashoga zake mi zombi wake,na kuamua kua na jamaa ambae tunajua wote anamchezea tu na wala haonyeshi kindness kwake
 

Pole sana mkuu, huyo hakuwa na mapenzi ya kweli kwako....a woman in real love kamwe hawezi kutenda hayo
 
Give her kindness, she'll give u
LOVE
Give her smiles, she'll give u
LAUGHTER
Give her your heart, she'll give u
her LIFE
Treat Her Like a Queen, She ll
make u a
KING.
LOVE her, and she'll SUBMIT
herself!


Very true!!!!


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…