jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,475
- 11,475
Ujio wa 6G tutegemee nini hasa huku Africa, au tuendelee na matumizi yaleyale kama ya 4G?
Hiyo 4g yenyewe bado kufika nchi nzimaWakati sie bado tunapambana na watu wasipate huduma ya internet kwa bei rahisi, hiyo starlink bongo bado figisu kupewa leseni. Wenye mamlaka wanakula percent tu toka kwa wauza data nchini.