60 year old marries 25 year old - Photos | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

60 year old marries 25 year old - Photos

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NGULI, Mar 5, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Fataki
   

  Attached Files:

 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  More snaps
   

  Attached Files:

 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Pesa sabuni ya roho jamani! Hilo halina ubishi. Binti mrembo kama huyo ameishia kuolewa na mtu mwenye umri sawa na babu yake!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  staili yako ya sasa inatisha!HUONGEI SANA!wewe ni snap tu na maneno kidoogoooo UJUMBE UNAFIKA:D:D
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  licha ya ubabu...pia wazee hawasumbui......wazuri sana hao na wanajua namna ya kutake care
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwenye hili bandiko ni HASIRA imenishika huyu FATAKI anasababisha akina Fidel wakose mke.[​IMG]

  Ila naona hio ndoa haitadumu muda mrefu huyo mtoto atamuua huyo mzee na presha soon!

  Kwa vile hawana nguvu.[​IMG]
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Njia nzuri ya kupeleka meseji,
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Kudos Preta.
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nani kawaambia kuwa miaka 60 mzee na jogoo hawiki? Zuma ana miaka mingapi na anapiga kama kazi? Nyie mabrazamen jipeni moyo tu hao mnaowaita wazee ngoma yao kubwa; waulizeni dada zenu.
   
 10. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kipendacho roho hula hata nyama mbichi na pia kimfaacho mtu chake
   
 11. kobonde

  kobonde Senior Member

  #11
  Mar 6, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi naona bora maelewano
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  HAMNA UBAYA... kama wote wako elligible hawana kipingamizi...shida iko wapi? Ikiwa huyo baba labda kafiwa na mkewe au ni divorced asioe kisa mzee? Binti naye anataka kuolewa, kachoshwa na miyeyusho ya vijana, hataki kutukunwa kama yule tuliyemsoma kwenye post ya MJ1 kumbe afanyeje na keshapata mtu atakayemheshimu.
  If I was to get married today basi ningechagua mtu ambaye keshaiona dunia, akajifunza kuwa na heshima, akajifunza nini maana ya kuenzi penzi and who else are better to do that?

  Kidding.... just thinking loud
   
 13. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kama anaweza kazi... tatizo liko wapi ?
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  na uwezekano wa yeye kuwa wako peke yako ni mkubwa...mambo ya kupigana vikumbo yanakuwa hayakuhusu
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  lol WoS,

  Hapo nimeelewa hivi,
  1. Uko married tayari,
  2. hauko married kwa sasa ila ulishawahi kuwa married,
  3.Umri wako wa kuolewa bado,
  4. Huna interest kabisa na mambo ya kuolewa.

  sasa hapo kipi ni kipi my dear...thinking aloud as well
   
 16. T

  Tall JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Samaki mkubwa kumla mdogo,ingekuwa mbaya zaidi kama mzee huyu agembaka binti huyo.
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  When a dog bites a man, that is not news.

  When a man bites a dog, that is news .

  Nothing remarkable here, vimwinyi vya Ikwiriri, just to pick a random place on the Tanzanian coast, have been doing this for years.

  Now had it been a 60 yo woman marrying a 25 yo guy, that would have been newsworthy, in the caliber of "man bites dog".
   
 18. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Interesting..! Kama wote wamependana na wako huru kwa hakika hakuna ubaya.
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  sioni tatizo kama tu kuna mapenzi ya dhati......
  hata mimi huwa na-wish nipate wa tofauti kubwa kama hiyo, hana ususmbufu kama vijana, macho utosini!!!
   
 20. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mambo ya visa hayo jamani, hapo naona kama majuu vile not TZ. binti anataka kuishi ng,ambo!!lakini huwezijua
   
Loading...