watangaze haohao DW sie huku bongo media zetu full magoma moto moto...nashauri iundwe sheria ya kuongoza vyombo vya habari, kwamba likitokea jambo la dharula vyombo vyote vya habari visitishe ratiba zao za kawaida na kuripoti tukio husika, itatusaidia kama taifa
Why we always cry at the end! Instead take initiative to avoid the situation before, above all you watch and read the comments in a bid to blame the authority, are a safe in this! Let's play our part avoing evils things around us because we are the first to survive in country
Ndio hivyo tena. Halikufaa kusajiriwa na Sumatra bara, lakini nyie wenzetu mkaona Sumatra wajinga, mnataka kuamua mambo yenu wenyewe mkalisajiri pamoja na ubovu wake. Siku nyingine twawapiga marufuku kuleta merikebu zenu huku bara.
Nadhani kama Zanzibar wataka kusajiri merikebu wenyewe, Sumatra wekeni sheria ili merikebu ilosajiriwa Zanzibar lazima isajiriwe na bara ili kuruhusiwa kuingia bandari za bara, maana Zanzibar washasema hawataki Sumatra visiwani. Sasa isiwe hawataki Sumatra visiwani ili wasajiri merikebu mbovu na za Irani sijui.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.