6 Million Tsh nahitaji Suzuki Carry 4WD

6 Million Tsh nahitaji Suzuki Carry 4WD

COTANGENT

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
444
Reaction score
244
Kama kuna anayefahamu show room ambayo naweza enda na kupata hio gari kwa hela hiyo, hata ikibidi niongeze kidogo naomba anitaarifu...it's urgently needed, naomba iwe Dar es Salaam.
Not necessary iwe show room hata kama inamilikiwa na mtu na bado iko pouwa nitaarifu nije kuiona..
 
Thanx bwana Ipilimo, nimekucheck whatsapp unaweza tuma photos
 
Nasikia kuna aina mbili za engine moja ni F6A na nyingine ni K6A sijajua ipi nzuri zaidi. Ila kuna moja kati ya hizo engine yake inatumia carburator na nyingine ni injection. Ni bora ukatafiti kuliko kukimbilia kukunua unaweza ukapigwa changa la macho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom