6 Keys to Relationship

6 Keys to Relationship

Hivi na love si inatakiwa iwepo au?
 
Asante,
hata wewe

mie ndio!

afu mleta mada hajasema ni relationship ya namna gani! je ya boss na junior wake, mama na mwanae, kaka na dada, mume na mke, geflend na booflend ama mie na Mamndenyi?

hiyo ya pesa nimejibu tu ile kwamba kuona watu watasemaje.
 
Last edited by a moderator:

Yoyote ile jamani
 
Last edited by a moderator:
Wasemeje tena
si unaona kila mtu anataka pesa.

mie ndio!

afu mleta mada hajasema ni relationship ya namna gani! je ya boss na junior wake, mama na mwanae, kaka na dada, mume na mke, geflend na booflend ama mie na Mamndenyi?

hiyo ya pesa nimejibu tu ile kwamba kuona watu watasemaje.
 
Kama hakuna upendo wa kweli ni upuuzi mtupu.

Upendo wa kweli ni upi kwa mtazamo wako hasa?
unafikiri kutumia papuchi bila kuipeleka service au kuchangia gharama za service ndio upendo wa kweli au ni kuto thamini papuch yake kweli kweli?
 
Hivi na love si inatakiwa iwepo au?

upendo!!!!!!!!!!
ukipenda usiko pendwa/ kwenye fake love (huwwezi kuusemea moyo)
wewe utabaki unaelewa one side kuwa nampenda ila yeye hujui kama anakupenda kama unabisha uliza uambiwe kuna watu wanazaa watoto mpaka 4 mtu anakuacha anaoa mke mwingine na bado aliye olewa pia anaweza achwa akaolewa wa kumzika hapo upendo ulikuwa wapi!
xo upendo ni factor ambayo naona kama sio kivile yaani mtazame mtu kwanza zungumza naye ona kama mind zake unaweza kuzitawala! kama unaweza kumumudu basi muweke unavyotaka mtu wako awe! since you cana control her/his mind hakusumbui na atakupenda hadi mwisho ili mradi humtendei jambo baya la watu wa nje kutumia weakness hiyo kumulaghai! utainjoy na utakuwa na uhakika kuwa kitumbua chako hakiibiwi wala kuingia mchanga na muda wote atakupenda! tatizo kila mtu anataka mtu wa level ya juu tofauti na yeye nini unafikiria baadae? ukweli wengi wanamtaka na yeye anajitambua huwezi kumkontrol ukizingua kidogo inakula kwako mwenyewe na hata bila kuzingua inakula vile vile! unakuwa kila kitu umeshikiwa naye kuanzia akili mpaka afya yako!
muda wote hujielewi kama huna HIV au unayo but wewe hujawahi vuka fence ya nini pressure sasa? tafuta mtu unaye mumudu! unaona yule mama mbunge kachukua mtu wa level tofauti na yeye nini kimempata?
 
mie ndio!

afu mleta mada hajasema ni relationship ya namna gani! je ya boss na junior wake, mama na mwanae, kaka na dada, mume na mke, geflend na booflend ama mie na Mamndenyi?

hiyo ya pesa nimejibu tu ile kwamba kuona watu watasemaje.
kile unacho nena ndicho kilicho ndani ya fikira zako na ndicho bila shaka unatenda!
kwani kila unacho tenda huanza kufikiriwa then kunena mwisho unatenda, sasa kama ulifikiria, umenena kuona tunasemaje, mtazamo wa wengi wamekuruhusu katende! umeona? madhara ya kufikiri bila analysis leo kama mshikaji wako hakupi money unamuacha si ndio? au unamtafutia kidumu cha lita 5!
 
Back
Top Bottom