Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
kile unacho nena ndicho kilicho ndani ya fikira zako na ndicho bila shaka unatenda!
kwani kila unacho tenda huanza kufikiriwa then kunena mwisho unatenda, sasa kama ulifikiria, umenena kuona tunasemaje, mtazamo wa wengi wamekuruhusu katende! umeona? madhara ya kufikiri bila analysis leo kama mshikaji wako hakupi money unamuacha si ndio? au unamtafutia kidumu cha lita 5!
umesomeka sana tu! na unajua sana kufikiri! tatizo hujajua bado nilikuwa nafikiria nini mpaka nikaandika hivi nilivyoandika!
humu kuna thinkers and Thinkers...................!