..................

..................

Hivi hawa unaona walivyoishika bastola utafananisha na Huyo wa kibongo kwanza angalia sura zao zimekaa kisaga sumu ebu rejea ya huyo wa kwetu ukimuangalia vizuri unaona anatabasamu alafu angalia mkono wake wa kulia hauna ushilikiano na ule wa kushoto unashika Bastora alafu mkono mwingine auna ushilikiano na mwingine uliona wapi?

KWENYE BLUE-sura kukaa kisaga sumu si kigezo pekee cha kushika bunduki/bastola
kwenye red-si kweli eti anatabasamu...na hata kama anatabasamu,hiyo ni picha mnato unajua kilichopelekea yeye kutabasamu?
kwenye kijani-ushirikiano upi unaozungumzia,kwamba lazima ashikilie kwa mikono miwili ama ni assumptions an kukariri kwako,,, pamoja na bongo movie kuwa nyuma wakosoe kwa vigezo vinavyostahili pasipo shaka...
 
Tyta, inawezekana mimi na wewe wote hatuyajui maigizo vizuri. Ukiangalia mazingira ya hizo picha ulizoweka hapa, na hiyo picha ya hao wenzetu mazingira ni tofauti. Unapokuwa nje sehemu ambayo ni rahisi mtu kuruka au kupiga teke huwezi kumshikia mtu pistol kwa distance ndogo namna hiyo, ukifanya hivyo utakuwa unajitafutia maafa. Kwenye sehemu ambazo zimebana na ambako sio rahisi mtu ku-move kwa urahisi then unaweza kumshikia mtu pistol at zero distance.

Tiba

haya mazingira ya nje napo utasemaje????

Cooper%2Bat%2Bgunpoint%2ByQD8Gd1wYKwl.jpg
670px-Act-when-Held-at-Gunpoint-Step-2.jpg
...

hivyo vyote ni vipande vya muvi...
 
Tyta, hivi kweli huoni tofauti ya hizo picha mbili ulizoweka hapa na ile ya wenzetu? Please try to be serious.

hapo chuma ishawekwa tumboni au mbavuni,ukizingua tu jamaa ana click,angalia ya mlela na hemed hapo juu,mtu akiamua anaweza akamshika mkono na risasi zikaishia hewani
 
kuna tofauti kubwa,hapa bastola umewekewa tumboni,ukizingua ana-click,sasa ya kibongo hapo mkono si unadakwa halafu unashikiwa juu,risasi zinaishia hewani halafu unapigwa
 
Tyta, hivi kweli huoni tofauti ya hizo picha mbili ulizoweka hapa na ile ya wenzetu? Please try to be serious.

Tiba
tena umesahau kabisa hiyo picha ya juu,bradley cooper na mwenzake wanatabasamu kabisa........huku wameshikiana bunduki
 
hapo chuma ishawekwa tumboni au mbavuni,ukizingua tu jamaa ana click,angalia ya mlela na hemed hapo juu,mtu akiamua anaweza akamshika mkono na risasi zikaishia hewani

24hrs, labda nikwambie kitu kimoja..mimi si muangaliaji wa bongo muvi..lakini hoja unazotumia kuzidiscredit hazina mshiko ndio hoja yangu hapo....

haya sasa hapo tom cruise napo ubasemaje....
images

na huyu je....au kwa kuwa ni wazungu hawakosei na weusi wamekosea

1x01_-_Walt_at_gunpoint.jpg
 
Ndio maana uwa nasema wabongo bado hatujajua kuigiza. Sasa unamlengjea mtu bastola katika umbali mfupi namna hiyo?

Tiba

Labda waliambiwa wasogeleane ili watoshe kwenye screen!
 
KWENYE BLUE-sura kukaa kisaga sumu si kigezo pekee cha kushika bunduki/bastola
kwenye red-si kweli eti anatabasamu...na hata kama anatabasamu,hiyo ni picha mnato unajua kilichopelekea yeye kutabasamu?
kwenye kijani-ushirikiano upi unaozungumzia,kwamba lazima ashikilie kwa mikono miwili ama ni assumptions an kukariri kwako,,, pamoja na bongo movie kuwa nyuma wakosoe kwa vigezo vinavyostahili pasipo shaka...

Kwanza unajua kwa nini nime LIKE badiko lako ni kwa sababu unajitaidi kuleta uongo kuwa kweli na kuwatetea na inaonekana ni mfatiliaji mzuri sana kama si mdau kwenye hiyo industries kama msemavyo nyie.Pili kitendo cha kushika bastola inaonyesha ni hatua ya mwisho kabisa kwa mtu baada ya maonyo fulani kutoa ama kujikinga na na kitu ambacho anaona kwake kinaweza kuwa hatari sasa kwenye picha ya hao Bongo movie hali hiyo iko wapi?Kwenye ushilikiano wewe ndo uliefikilia kwamba lazima ushike kwa mikono miwili simaanishi hivyo bali ebu angalia huo mkono vizuri na mwili wa huyo alieshikilia bastola ngoja ni edit picha kwa kukuonyesha vizuri lakini ukweli utabaki pale pale kuwa wanasafari ndefu sana kwenye kuuvaa uhusika.
 
kwenye blue: sina haja ya kukulazimisha mimi si muangaliaji wa bongo muvi...
walau ingia hapa unaweza ona nachopenda
[h=3]Movie fanatics,mnawakumbuka:then & now[/h]
kwenye blue: nakunga mkono wabongo tuna safari ndefu,ila vigezo unavyotumia ukioneshwa upande wa pili(holywood) unashindwa kujitetea kwa hoja zenye nguvu....
 
kwenye blue: sina haja ya kukulazimisha mimi si muangaliaji wa bongo muvi...
walau ingia hapa unaweza ona nachopenda
Movie fanatics,mnawakumbuka:then & now

kwenye blue: nakunga mkono wabongo tuna safari ndefu,ila vigezo unavyotumia ukioneshwa upande wa pili(holywood) unashindwa kujitetea kwa hoja zenye nguvu....

Mkuu kama ni mahakamani tayari nishachukua point soma tena maneno yako ha!ha!poa mkuu nimekupata ni errors za kawaida kwenye mitandao tu.
 
Katika picha mnato, mshtuko huwa waonekana vipi?

inapochukuliwa video pia hizo video zinaweza kugeuzwa picha mnato,mana kuna camera zinapochukua video pia zinachukua picha mnato
 
Back
Top Bottom