bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,565
hahaaaaa alichekesha sana ila nahisi yalikuwa masharti ya mwenye nyumbando walivyo,si unakumbuka moja jambazi alivua viatu ili asichafue kapeti
hahaaaaa alichekesha sana ila nahisi yalikuwa masharti ya mwenye nyumbando walivyo,si unakumbuka moja jambazi alivua viatu ili asichafue kapeti
na wateja nao wamesha shituka hapo chachawauza sura hao
naomba unifafanulie tabasamu la hawa which make them right...
![]()
Hapa tabasamu linaonyesha wote wako kwenye kazi moja amna adui hapo na iyo kuwekeana bastola ni salamu huwezi kufananisha na lili pozi la wavaa heleni wauza sura.....!!!
inaonesha hata muvi yenyewe hujawahi iona