![]()
Anayeonyeshewa bastola haonyeshi hata kushtuka.
Halafu bastola ipo karibu sana na mikono ya anayelengwa,je akipokonywa bastola?
![]()
Anayeonyeshewa bastola haonyeshi hata kushtuka.
Halafu bastola ipo karibu sana na mikono ya anayelengwa,je akipokonywa bastola?
Itatuchua miaka 300 kuwafikia wenzetu,halafu kuna kitu najiuliza,hivi remix si inatakiwa kuwa nzuri kuliko original track? Kujipodoa tujifunze kutoka kwao,kuvaa tujifunze kwao,bling bling,kupinda midomo,kushika bastola,swaga na bado umbulula nje nje aiiiiiiii!
na nyie mnaponda sana.......Ndio maana uwa nasema wabongo bado hatujajua kuigiza. Sasa unamlengjea mtu bastola katika umbali mfupi namna hiyo?
Tiba
au labda tuseme tumejijengea mawazo kwamba wa nje wanajua sana kuigiza?
Bastola unaishika kishalobalo kudadadeki Mushi ungekuepo uwaonyeshe ulivyoishika kwa yule bi mdada wa Itv.....
mnawaonea sana...
![]()
![]()
![]()
![]()
na nyie mnaponda sana.......
![]()
![]()
![]()
![]()