jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
me,myself and i
mimi, mimi mwenyewe na ndio mimme,myself and i
Hii sio sentensi. Haina sifa ya kuwa sentensi. A sentence should have two parts: a subject and a predicate. Where is a predicate here?. Otherwise ondoa tangazo lako kabla hawajifika watu wa fani zao wakakuchambame,myself and i
Tuma mzgo huo basi..hahaha mkuu umejitahd sana
hapa penyeweMimi, mimi mwenyewe na ndimi.
basi tuseme maneno hayaHii sio sentensi. Haina sifa ya kuwa sentensi. A sentence should have two parts: a subject and a predicate. Where is a predicate here?. Otherwise ondoa tangazo lako kabla hawajifika watu wa fani zao wakakuchamba
Ndimi Ndio tafsiri gani hiyo acha miyeyusho... Maana ya neno Ndimi haswa limetumika kwenye ule msemo kuwa malaika wameumbwa kwa ndimi za moto.Mimi, mimi mwenyewe na ndimi.
me,myself and i
Ndimi Ndio tafsiri gani hiyo acha miyeyusho