Kuna siku baba Riz akiwa Uwanja wa Heathrow UK, pale lounge ya watu maarufu, ghafla David Beckham anapita kwenda zake US wakati akichezea timu ya LA Galaxy. Duh, baba Riz noma ikabidi avunje protocal kumkimbilia Becks wapige picha. Jamaa akapata ukumbusho wake faster na akamualika aje Tz.