Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
- Thread starter
-
- #21
Kwani JK na LOWASSA c ndio Boys II Men wa Bongo? Wameshindwa hata kupiga picha na role models wao!
Rais wetu anashida hayupo sawa..
Wasanii wamekutana watoe kolabo huyu rais bola aondoke yani ni full maigizo
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Aaah Mzee wa Magogoni kwa kuuza Nyago anatisha sana
Rais wetu ama kweli bado kijana, inaonesha hapo aliwasaidia kidogo hao jamaa kumwaga mistari..maana inaonekana ni ukumbini na show inaendelea.
Nchi yako Ina nini Pastor
Heshima yake imepotea. Yaani unatumia pesa ya walipa kodi ili upige tu picha na huyo jamaa? Mbona hajawahi kupiga na 20%?
20% mchafu
Mwanao ni mwanangu hata akiwa mchafu. Kwani haogi?
hahahaha akina ray cNdio anawapnda wasanii kuliko wavaa magunia
hahahaha akina ray c
Rais wetu ama kweli bado kijana, inaonesha hapo aliwasaidia kidogo hao jamaa kumwaga mistari..maana inaonekana ni ukumbini na show inaendelea.