House4Sale 5 units nyumba za kupangisha zinauzwa tsh milioni 35

House4Sale 5 units nyumba za kupangisha zinauzwa tsh milioni 35

Fact1990

Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
82
Reaction score
96
Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo Kiluvya Makurunge, Pwani karibu na kwa masister au kwa Sumaye.

Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi
IMG_9205.jpeg
 
35m sio, wewe yako umeongezea hapo ngapi ? Usikute tajiri anataka 26m
 
Kwanini unaziuza?
Rusha picha zaidi za ndani, hapo nje kama kuna heti na kwa nje barabarani. elezea ya kodi kiasi gani estimate, maji, umeme n.k. yakoje
Napunguza loans bank, biashara imekuwa shida kidogo, nitashare picha za ndani shortly, kuna kisima hapo na tank la 5000L, ni mita 200 kwenda barabara kubwa ya mtaa, kodi wanalipa 70k kwa mwezi kila unit, umeme huwa wanshare kulipa wapangaji wenyewe, kuna sales agreement, sikutafutia hati ila naweza assist mtu kupata hati
 
Back
Top Bottom