4GLTE from smile communication

4GLTE from smile communication

Router ya 350k inashare kwa computer 10
wakat Mi-Fi router inashare kwa almost 5 coputers bila shida yoyote

kama link ni shared maana yake user mwenye computer i7 aki-download na mwenye computer ya kawaida aki-download mwenye i7 atawai kumaliza so bundle zipo juu sana labda kama link isingekuwa shared.
 
What about coverage? is that dar es salaam network only?

4G LTE broadband is the fastest mobile data service in the world. This state-of-the-art, superfast, high-quality and reliable service is brought to Dar es Salaam for the first time by Smile. Get your new smile modem plus 10GB of data for only 190,000 TZS and a router plus 20GB of data for only 350,000TZS. Should you need the product Contact this number: 0717192672.
 
1gb kwa 16000 tsh ? Kichwa kinauma!!

wakati saa hizi wengine tumefufua lne zetu za airtel yatosha 1Gb kwa 5000 kwa wiki na hata skyping pia iko pouwa maana naongea na jamaa zangu from US na Indonesia poaaaaa!! anyways labda kwa matumizi ya ofisi ni nzuri na sipingi ila kupiga tu story na kuingia JF it is abit costful.
thank you for the info.
 
Router ya 350k inashare kwa computer 10
wakat Mi-Fi router inashare kwa almost 5 coputers bila shida yoyote

hii unlimited yako bado ipo? maana gharama za internet zinazidi kutuumiza sana, maana kama unakazi ya haraka (yaani makazini ok utatumia hiyo smile na je kama upo home na unataka ku-download full season movie (7GB) itakuwa ghali sana ni bora ukaweka hiyo mwendo wa kobe idownload yenyewe usiku kucha. je hii kitu Unlimited Internet @10,000/Month bado ipo? unlimited ipo? niliwahi tumia ya paje ila kipindi hicho mtoto alikuwa kwenye mitihani nika-disconnect, nikannnnkkkkkipo

Kitu mweendo mdudundo bado kipo ni 10,000 yako tu
 
Watanzania mm nipendeni kuwambia kuwa tuachane na 3G hizi kuna mda tunaitaji kuanza kutumia hivi vitu vya 4G
Yaani Mungu Katujaria tumepata LTE lkn ukiuuliza nani anamiliki hata Modem hautomuona
Ni muda muafaka wa ku cope up na Technolojia wana DAR tuamke na wa-zanzibar ambako SMILE imefika

Na wale wa MAMBO yetu yale kaa mkao wa kula wa 4G
 
Hapo kwenye red panahusika saana. Cant wait for that...:heh:
 
Back
Top Bottom