Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,977
Ebu uwe unajarbu kuzima bluetooth afu utoe na hyo wallpaper ya nyumbaa...inawexkana ndo kikwazo
We jamaa acha ujinga wako,Unajiaibisha line itasomaje 4G wakati umeiweka Line 2?Halotel hawana 4G
Narudia hawana 4G
Ninaishi katikati ya mji kabisa mita kadhaa tu kutoka minara yao ilipo lakini cha ajabu speed yake ni ya kobe yaani hata kb haifiki inatembea 5 bps yaan byte yaani hata kb hawafiki.
Ukiona imesoma hata 2.2k/s hapo ndo imejitahidi.
Nilidhani ni nyumbani nimezunguka maeneo mengi ya Dar kwenye hekaheka zangu speed ni hiyo hiyo tu ya kobe yaani wakijitahidi sana ni 20kb per second.
Hawa nao wana 4g? 4g ya nchi gani hii?halotel ni matapeli wa karne hawakuzindua 4g waliudanganya umma kwa maksudi
Ukweli halotel hawana 4g wala nini ni uwongo na utapeli.
Pia niwaambie namalizia research yangu fulani hivi kuhusu networks hapa tz nisiongee sana kuna mazito aisee kuhusu hii mitandao na ukweli nitaumwaga hapa.
Halotel acheni utapeli hamna cha 4g wala nini oneni mtandao wa hovyo duuuh
View attachment 1862771
Nimeona nikuwekee ushaidiHalotel hawana 4G

Eti?We jamaa acha ujinga wako,Unajiaibisha line itasomaje 4G wakati umeiweka Line 2?
Unayo itumia ki internet siku zote inaweka line 1 na sio 2
NB .Kumbuka kufanya settings
We jamaa unatumia simu gani? Tupa kanunue simubya kuelewekaAnatumia simu za makampuni ndio simu zake zinashida hiyo ya kuchaguaEti?We jamaa unatumia simu gani? Tupa kanunue simubya kueleweka