4G ya Airtel

4G ya Airtel

Natumia 4G yao ipo vizuri sana

Screenshot_20190808-104023_Samsung Internet.jpg
 
Watumiaji wa hii 4G ya airtel ningependa maelezo ya ziada. Je, airtel wanatumia band gani kwa 4G yao, pamoja na Speedtest japo chache tujue kama ipo vizuri au ni yale yale (4g jina)
 
Kwangu niliwapigia simu wakaniambia hawajazindua bado iyo huduma Leo baada ya kuona hi I Thread nikajaribu kuwapigia tena nihakikishe napiga Customer care 100 , kuna mlio Wa namba kutosajiliwa nieende na vitambulisho want nishasajili mda mrefu tu siwaelewi
 
4G ya Airtel ishaanza, iko fast kiasi na wanatoa 4GB bure
 
hiyo 4G ni tanzania hukohuko?Basi na sisi wa matulunga huku watuletee hata 3G basi tuachane na voda.
 
Ni GB ngapi? na ni TZS ngapi?

airtel kwa smartphone yangu TZS 1000, GB1 kwa siku tatu inanitosha. ila kwa mtandao naokomaa nao kwa movies na softwares ni TTCL 4G wao wanatoa GB 10 kwa 1500 Speed kama ya voda 30+Mbps na 5000 kwa GB8 kwa wiki, na 1000, GB4 kwa siku.
 
Speed mbovu, ping mbovu
Kiuhalisia hakuna mtandao ambao unasema ukweli kuhus hii download speed utakuta mtandao ukifanya speed test unasoma 49mbs lakini unapodownload kitu inagonga kwenye 6mbps ndiyo imejitahidi hiyo ni voda tena tuache unazi kwa Bongo mi sioni maana ya hii kitu ila tu as long as naona mtandao uko faster basi hayo mengine mbwembwe tu so far kwa 4G ya Airtel nimexperience kitu wame improve kutoka walipotoka mpaka sasa na ukijumlisha wanavifurushi vizuri si haba kwa hatua waliyofika.
 
ki ukwel hapa Tz mitandao ya simu mingi ni ovyo kabisa tena KABISA,hapa nilipo natumia Tigo lakini nikirudi chimbo nipo na Halotel,sasa Airtel ndo oooovyo kwenye intanet nawapenda kwa dakika wapo fresh tu,Vodacom ndo sina mpango labda nikiwa millionea,TTCL mara ya mwisho kutumia ni mwaka jana na sikufurahishwa nao.
 
Mi nina wiki kama tatu hv natumia 4g ya airtel nilishangaa tu ikapanda na kuwa lte(4g)

Toka siku hiyo voda nimeiweka mahabusu
Ila mkuu speed yao unaionaje?wanaweza kuwaweka Vodacom bench kweli kwa upande wa speed?

Line yangu imeshasoma 4G ila sijaitest nina bundle la voda nalimalizia kwanza.
 
Back
Top Bottom