4G mobile communication company ya NAZIR KARAMAGI

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,160
1,717
Wadau leo nimesoma tangazo la TCRA likialika maoni yeyote kutoka kwa wananchi kuhusu kuipa kampuni mpya ya simu Tanzania, inaitwa 4G, leseni ya kuendesha biashara hio hapa Tanzania.\


Majority shares za kampuni hio, about 57%, ni za Nazir Karamagi.
Sasa nauliza wadau, kuna sheria yeyote inayoweza mzuia huyu jamaa FISADI kupewa leseni ya kutunyonya tena!! Au kwasbabu hajapelekwa mahakamani,

Hii kampuni ilishakuja awali kabla ya uchaguzi,ikazimwa. Jina nimesahau ila tulishajadili humu mjengoni.

Pamoja na karamgi kuacha siasa nafikiri si sawa kupewa go ahead ya leseni hio kwasbabu his ethics are in question.
 
Sorry sikuona kua post iko tayari. My apologies wana jamii,
 
Afadhali kama wameamua kuwekeza hapahapa nyumbani!... Yale ya kwenda kuzificha jersey yalinichefua xana!...
 
inatoza viwango vya mtanzania wa kawaida? inafikika kwa watanzania waliotengwa ki-mawailiano? kama majibu ni ndiyo tumuunge mkono. kama majibu ni HAPANA tupinge sawia...!
mbona pamoja na kelele za kupinga ufisadi bado tumeona SLAA,MBOWE,LEMA,MARANDO na ZITTO ....wakiwa ni wateja wazuri tu wa kampuni ya ROSTAM(vodacom)?
huu unaitwa unafiki wa wanasiasa......wanauma huku wanapuliza kwa kufadhiliwa na rostam
 
Back
Top Bottom