49% niii....!!!

49% niii....!!!

Na ndio maana mnakimbilia kusakizia wanaume wasio na hatia siyo? Hivi hamuoni dhambi kweli, mtoto ana tabia za hajabu shinda baba yake anaye mtunza, hana akili, yeye anafikiria kutoroka shule na kufanya ujinga kama baba yake aliyekupa mimba. Baba wa kufikia kila akifoka mtoto ndiyo kwanza anacheka na kushangaa kwa nini anakalipiwa. Kumbe ana dna ya baba kibaka, pressure anapata mtu asiye stahili, ni haki kweli nyie kina mama? Haki ya nani mie kama nakuja kuzaa na demu lazima nipime huyo mtoto kabla hajanizoea....nikigundua siyo wangu, nasubiri usiku ukifika ule mda wa majambazi kuchinja watu namfukuza demu nyumbani yeye na kibaka w ake.


Jamaa kweli wewe Jamaa Mbishi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom