45% ya Wanawake wenye Ajira wametoa Rushwa ya Ngono!

Hawa wanawake hawaogopi Ngoma? Kama kuna wanaoogopa ikithitishwa kwamba babu Loliondo anatibu UKIMWI ndio itazidi kabisaaa
 
Wanawake tunaonewa. Rose Migiro nae alitoa rushwa ya ngono akawa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa??
Sie ni mama zenu, dada zenu, shangazi zenu, wake zenu mbona mnatuonea hivyo.
Tukifanya kizuri tumependelewa eeehh jamani hebu give us a break
 
Wanawake tunaonewa. Rose Migiro nae alitoa rushwa ya ngono akawa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa??
Sie ni mama zenu, dada zenu, shangazi zenu, wake zenu mbona mnatuonea hivyo.
Tukifanya kizuri tumependelewa eeehh jamani hebu give us a break

NOTE
Its only 45% not all the women, this should be kept in ur mind
 

Hapana usilione kila tatizo ni wanaume..ukweli uko palepale kwamba wakati kama huu tuliopo labda turudishe maadili ya taifa (azimo la arusha) walau itasaidia,vinginevyo sote tutaumia kutegemeana na maumbile yetu kila mtu. didnt you abandon mwalimu's glory on leadership principles?? Are we blind??
 
Ni vigumu mno kuthibitisha hizo takwimu...mie naona sana sana zimejaa assumption tu na udhalilishaji. Nimeisoma hiyo stori katika gazeti la Mwananchi la leo haikuingia akilini.
 
huyu muandishi amefanya uchunguzi..? au anaropoka ! dada Nora Damian kama ni wewe ni wewe sio wanawake wote:lol:
 
Binafsi naona taarifa hii ina mapungufu makubwa. Haijaonesha details kuhusu sample iliyotumika ktk research,tho ametaja Afrika kusini na takwimu za ubakaji.pia inawezekana mwandishi alitaka kuandika kwa namna ya kuuza tu, which is right n wrong in the other hand. 45% iliyoandikwa inatoka katika representative sample? Kama itathibitika basi tuna kazi ya ziada kama Taifa, si wanawake tu, maana hao wanaodai rurhwa hizo ni wanaume ambao kama sikosei wana ndoa au wapenzi. It's just crazy!!
huyu muandishi amefanya uchunguzi..? au anaropoka ! dada Nora Damian kama ni wewe ni wewe sio wanawake wote:lol:
 
Hii ishu inawezekana kuwa kweli kabisa, siku hizi kupata ajira ya maana tanzania hasa kwa dada zetu inategemea mambo yafuatayo:
Either unamjua mtu kenye kitengo flani anakuunganishia unapata kazi or unatembea na muhusika halafu anakupigia kifua unapata kazi.
Wako wanaotoa nyuchi zao na bado kazi hawapewi, inakuwa hasara mara mbili.
 
wala sishangai ndo maana ufanisi wa kazi unakuwa zero maana vikumbo vya wake wenza haviwezi kuisha kwenye vibaraza.halafu utashangaa wanakuwa na power kubwa mpaka unajiuliza wamezitoa wapi kumbe:juggle::hatari:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…