400K ! Nitumie picha niweke dhamana

400K ! Nitumie picha niweke dhamana

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,138
Hii ni kiboko.

Hii kitu ni zaidi ya dhamana.[emoji16][emoji16]
IMG-20190902-WA0006.jpeg
 
Nilikuwa nasikiliza kipindi kimoja cha BBC World Service, walikuwa wanajadili tatizo la madeni China.

Wakasema China kuna makampuni mengi sana yanakopesha watu na kudai picha za uchi kama dhamana, ukishindwa kulipa yanasambaza picha.

Naona tushaiga.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]huu utaratibu ni mgumu sana. Just imagine server iko hacked , alafu hacker anakupa tena deni la sivyo umlipe

Hata huyo unayempa hizo picha, unajuaje ukimlipa hataacha kukudai kwa blackmail?
 
Nilikuwa nasikiliza kipindi kimoja cha BBC World Service, walikuwa wanajadili tatizo la madeni China.
Wakasema China kuna makampuni mengi sana yanakopesha watu na kudai picha za uchi kama dhamana, ukishindwa kulipa yanasambaza picha.
Naona tushaiga.
Hii dhamani sidhani kama ina nguvu kiasi hicho.
Inaweza ikawa na nguvu kwa baadhi ya watu tu.
Mtu anaweza kuchukua mkopo wa kitu fulani kwa dhamana ya picha za uchi, ikaenda mwisho akashindwa kulipa deni lake. Kwa ulimwengu wa sasa sidhani kama picha za uchi ni inshu kubwa sana kiasi hicho cha kuwekwa na kuchukuliwa kama dhamana.
Picha za utupu zinaweza kuwa na nguvu kwa mtu fulani, tena ndani ya muda mfupi tu.
 
Inategemea na jamii na mtu mwenyewe kama ulivyosema.

Sehemu kama China this is a big deal, hata Bongo kwa wengi ni big deal.

Ila kuna watu wanaona kawaida tu.
 
Hii dhamani sidhani kama ina nguvu kiasi hicho.
Inaweza ikawa na nguvu kwa baadhi ya watu tu.
Mtu anaweza kuchukua mkopo wa kitu fulani kwa dhamana ya picha za uchi, ikaenda mwisho akashindwa kulipa deni lake. Kwa ulimwengu wa sasa sidhani kama picha za uchi ni inshu kubwa sana kiasi hicho cha kuwekwa na kuchukuliwa kama dhamana.
Picha za utupu zinaweza kuwa na nguvu kwa mtu fulani, tena ndani ya muda mfupi tu.
Kama ambavyo huwezi kutoa mkopo wa 100M kwa dhamana ya kibanda kisichofika thamani hata ya 10M, ndivyo usivyoweza kutoa mkopo wa 500K kwa mwenye utupu ambao unaweza kuuanika hadharani hata kwa 200K!

Na hata huyo Amber Rutty, huenda asiwe tayari kuanikwa utupu wake hadharani kwa mkopo wa 20K! Hivyo basi, sina shaka kwamba utupu unaweza kuwa dhamana bora kabisa, bali unachotakiwa kufanya ni kufahamu thamani halisi ya utupu husika kwa kulinganisha na mkopo unaotakiwa!! Amber Rutty akitaka mkopo wa 100K kwa dhamana ya utupu, mwambie NO, kwa utupu wako, unaweza kupata mkopo Sh. 30K.Lakini utupu wa mtu kama Jokate wa sasa, unaweza kuwa dhamana ya hata 5M.

Narudia, kila utupu una thamani yake kulingana na mkopo unaoombwa na mwenye dhamana yake!!

Uko sahihi, nilitaka kumaanisha jinsi hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom