Je tunaweza kutumia uendeshwaji wa kesi hizi mbili kupima viwango vya maadili kwenye awamu hizi 2?
Jinsi utaratibu wa kufikia maamuzi katika kesi ya Richmond vs Bashite
Muda uliochukua kila shutuma hadi kufikia serikali ku-act
Je ni kwa kiwango gani maoni ya wananchi yaliheshimiwa na wenye mamlaka?
etc
Hebu lete maoni yako juu ya tawala hizi 2